Bifu la P-Funk na Wasafi Litafikia Kikomo?

Bifu la P-Funk na Wasafi Litafikia Kikomo?

Ni upumbavu mtu Kama Sallam kusema maneno kama hayo, ameshusha heshima yake Wala hajapiga popote
Salam ajashusha heshma yake bali kasema kitu ambacho kipo kweli.

kwani wcb pekee ndo inanyonya wasanii?,hapana zipo lebel nyingi wakiwepo na mameneja wanaonyonya wasanii,Majani kaamua kutetea wanaomtunzia familia[emoji818]
 
Vijana wa huko daslamu mnamuda na shughuli nzito sana.. Ofcoz namjua majani ila hao wengine ila muda Wakuunganisha hayo mambo yote ni hatari.
 
Okay sawa vipi hao akina Nature, Inspector na wengineo wengi waliokuwa kwenye label yake,manake mgao siku hizi Cosota waanza kuutoa japo kwa kusuasuana mpaka sasa hatujui mikataba yao ilikiwaje.
Samahani mkuu kwani cosota wakitoa mgao kwa wimbo fulani pesa anapokea prodyuza au aliyeimba? Mfano mtoto wa geti kali ikipigwa pesa inaenda kwa majani au gangwe moob?
 
Acha uongo kwenye Ile movie ilitumika beat ya nikusaidieje na sio wimbo WA nikusaidieje... Beat ni Mali ya producer na sio Msanii. Mashairi katika wimbo ndio Mali ya Msanii ..kwenye movie walitumia beat sio wimbo kilaza wewe

.unadhani wazungu ni mafala kumpa hiyo hela Pfunk kama producer ?

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Mkuu ulichoandika ni kweli kuwa ilitumika beat tu, lakini kumbuka mwanzo alilipwa jose kwakuwa walipata ile beat kutoka kwenye wimbo wa bomboclaat na sio nikusaidieje ndio p akawafata kuwaambia mliyemlipa nae ni mwizi tu, beat kuwa mali ya nani kati ya msanii na prodyuza inategegemea wakati wa kutengeneza walikubalianaje,
 
Labda Hermonize na Rayvanny wamelalamika kwa majani, au kiherehere chake tu?
 
P-Funk anamwambia Salam "WCB inanyonya wasanii Rayvany kasepa, Harmonaiz nae kasepa.",

Salam akamjibu Majani,,,"hao waliotoka WCB unawatetea kwasababu wanakulelea binti yako na mke wako wa zamani[emoji23][emoji23]
Salam kapiga kwenye mshono[emoji125][emoji125][emoji125]
😀 😀 😀 😀 sallam hanaga breki yanii... matusi haya
 
Ambacho sijapenda ni Salam kuingiza personal attack Kwa Majan
.
hao waliotoka wcb unawatetea kwasababu wanakulelea binti yako na mke wako wa zamani
.
Sio kauli NZuri yeye angejibu Hoja ya Majani with vivid evidence na Sio personal attacking Kwa mleta Hoja

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Majani ana ongea sana kama mwanamke wa uswahilini, ni kweli wanamlelea mtoto na mke wake wa zamani
 
Hivi unajua heshima ni bidirectional?

Jinsi unavyo behave na ndivyo watu watakavyo watakuchukulia.

Huwezi kuizungumzia biashara ya mtu vibaya kisa tuu kukataa kumpa promo msanii wako halafu akuachie.Wasafi ni brand ya kibiashara ukiizungimzia vibaya utajibiwa.

Mfano nyayua mdomo wako sasa hivi halafu uongee vitu visivyo na evidence kwa brand za Tigo,Vodafone nk halafu uone watakufanya nini?
Majani amejaa stress sasa ana tafuta mtu wa kumfia
 
Hivi unajua heshima ni bidirectional?

Jinsi unavyo behave na ndivyo watu watakavyo watakuchukulia.

Huwezi kuizungumzia biashara ya mtu vibaya kisa tuu kukataa kumpa promo msanii wako halafu akuachie.Wasafi ni brand ya kibiashara ukiizungimzia vibaya utajibiwa.

Mfano nyayua mdomo wako sasa hivi halafu uongee vitu visivyo na evidence kwa brand za Tigo,Vodafone nk halafu uone watakufanya nini?
Tigo pesa si salama kabisa, unaweka pesa inapotea halafu wanaanza kukupiga sound tu,,, haya wanifuate niko huku kigurunyembe
 
mara nyingi watu aina ya warabu huwa wanamatatizo sana popote pale ukipishana naye kauli tegemea either kukutukana tena anakutukana matus ya uncivilized person au kujibu ujinga kama huo aliojibu huyo mwarabu koko ndoo maana waarabu wakijaga anga zangu huwa nawashugulikia hasa mpaka wanalia meeeeeee na ujinga wao.
Kwa ujinga wako SAALAm ni mwarabu?
 
Back
Top Bottom