monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,781
- 13,444
Noma sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasanii wa rap walitamba zamaniWCB wamemkumbusha tuu , sema nyie haters mpo one sided , kama vip na nyie katafuteni vijana kitaa muwapike wafikie viwango vya rayvanny na Hamornize kama mnafikr ni hela ya nyanya imetumika.
Huyo pfunk ana wasanii niulize why hawajapenya Kwa viwango vya rayvanny , harmonize au zuchu ....!! Mwenzao aliedhubutu ndo wanaanza kumsemea , eeh bhana eeh unadai kulingana na ulichowekeza
Yule wa tako Saba akamwagia ndani 🤭😀Wasanii wa rap walitamba zamani
Kwasasa,hebu mcheki Rapcha[emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nimecheka kifalaYule wa tako Saba akamwagia ndani [emoji2960][emoji3]
Unyonyaji wa wasaniiiHii ishu imeanzia wapi maana hata sielewi
Wala ishu sio kunyonywa ishu ni hoja alizotoa pfunky halafu walichokuja kujibu WCBMimi kinacho nishangaza nikwamba hao ambao hawanyonywi mbona hatuoni wala kusikia mafanikio ya muziki wao??
Ila hawa wanaonyonywa ndio angalau wanavijisenti,
Kama mafanikio ya wasionyonywa hatuyaoni basi tuseme tu wasanii wote wananyonywa ila wasanii wa WCB wananyonywa kidogo ndomana wanavijisenti kiasi fulani.
Fact zinaendana na ushahidi na reference? Je huyo majani ali refer kwenye documents yoyote au naye aliongea ili mradi kuchamsha genge?Alichokiiongea pfunky majani Na Walichojibu WCB Unaona ni jinsi gani WCB Wana utoto mwingi sanaaa..
Hoja inajibiwa kwa hoja sio kwa dhihakaView attachment 2295848
Alichokiiongea pfunky majani Na Walichojibu WCB Unaona ni jinsi gani WCB Wana utoto mwingi sanaaa..
Hoja inajibiwa kwa hoja sio kwa dhihakaView attachment 2295848
[emoji146][emoji146]Kajala na majani walishaachana kitambo inaonekana penzi la harmo na kajala linawaumiza sana wcb kuliko majani mwenyewe,maana majani ana ndoa na keshamove on. Wcb walitakiwa kujibu hoja badala ya attack binafsi
Hili ni jibu la Salam sio WCB acha kuchanganyikiwa, anatakiwa ajibu hayo maswali ya Salam sio wewe kulalamika humu, je ni kweli Majani ana lelewa mtoto na mke wake wa zamani na hao vijana waliopita WCB?Alichokiiongea pfunky majani Na Walichojibu WCB Unaona ni jinsi gani WCB Wana utoto mwingi sanaaa..
Hoja inajibiwa kwa hoja sio kwa dhihakaView attachment 2295848
Lina waumiza sana kama vile mafanikio ya WCB yanavyo muumiza Majani kila siku wako mdomoni mwakeKajala na majani walishaachana kitambo inaonekana penzi la harmo na kajala linawaumiza sana wcb kuliko majani mwenyewe,maana majani ana ndoa na keshamove on. Wcb walitakiwa kujibu hoja badala ya attack binafsi