Bifu la P-Funk na Wasafi Litafikia Kikomo?

Alichokiiongea pfunky majani Na Walichojibu WCB Unaona ni jinsi gani WCB Wana utoto mwingi sanaaa..

Hoja inajibiwa kwa hoja sio kwa dhihaka
FB_IMG_1658168024572.jpg
 
WCB wamemkumbusha tuu , sema nyie haters mpo one sided , kama vip na nyie katafuteni vijana kitaa muwapike wafikie viwango vya rayvanny na Hamornize kama mnafikr ni hela ya nyanya imetumika.

Huyo pfunk ana wasanii niulize why hawajapenya Kwa viwango vya rayvanny , harmonize au zuchu ....!! Mwenzao aliedhubutu ndo wanaanza kumsemea , eeh bhana eeh unadai kulingana na ulichowekeza
 
Wasanii wa rap walitamba zamani
Kwasasa,hebu mcheki Rapcha[emoji3]
 
Mimi kinacho nishangaza nikwamba hao ambao hawanyonywi mbona hatuoni wala kusikia mafanikio ya muziki wao??

Ila hawa wanaonyonywa ndio angalau wanavijisenti,

Kama mafanikio ya wasionyonywa hatuyaoni basi tuseme tu wasanii wote wananyonywa ila wasanii wa WCB wananyonywa kidogo ndomana wanavijisenti kiasi fulani.
 
Wote wawili walikuwa sawa
Wote wezi tu
Shida ni huyo mluguru alivyojibu sasa
 
Mimi kinacho nishangaza nikwamba hao ambao hawanyonywi mbona hatuoni wala kusikia mafanikio ya muziki wao??

Ila hawa wanaonyonywa ndio angalau wanavijisenti,

Kama mafanikio ya wasionyonywa hatuyaoni basi tuseme tu wasanii wote wananyonywa ila wasanii wa WCB wananyonywa kidogo ndomana wanavijisenti kiasi fulani.
Wala ishu sio kunyonywa ishu ni hoja alizotoa pfunky halafu walichokuja kujibu WCB
 
Alichokiiongea pfunky majani Na Walichojibu WCB Unaona ni jinsi gani WCB Wana utoto mwingi sanaaa..
Hoja inajibiwa kwa hoja sio kwa dhihakaView attachment 2295848
Fact zinaendana na ushahidi na reference? Je huyo majani ali refer kwenye documents yoyote au naye aliongea ili mradi kuchamsha genge?

Huwezi kuongelea vibaya brand ya mtu then akuachie hata huyo mama muuza maandazi ukisema maandazi yake vibaya bila kuwa na ushahidi lazima mtagombana.

Ila mwisho wa siku kabla haja zungumza angewangalia wasanii alio wasimamia yy, je aliwapa wanacho stahili, vipi haki miliki za nyimbo zao?

Mziki wa sasa huwezi fananisha na enzi zao siku hizi.

i.Kuna promo za kwenye redio (local na International),TV za ndani na nje,kwenye digital platforms.

ii.Bado hujatengeza image ya mtu kwenye mwonekano na mavazi.

iii.Bado hamjatengeneza video zenye quality za kupigwa kwenye vyombo vikubwa.

iv.Bado huajamlipa mtu wa IT wa kusimamia account zake za social networks na kwenye digital platforms.

Ndio maana ukimtoa Lavalava ,wasanii wote wa waliotolewa WCB wanauwezo wakupiga show EA na wakajaza na kupata mialiko ya show nje ya nchi,Sasa jiulize, KWA NINI LABEL NYINGINE ZINASHINDWA?
 
Dah demu wa mjini ukimuacha jiandae kuumiza kichwa bora umuache demu wa kijijini huko dunia itatulia
 
Kajala na majani walishaachana kitambo inaonekana penzi la harmo na kajala linawaumiza sana wcb kuliko majani mwenyewe,maana majani ana ndoa na keshamove on. Wcb walitakiwa kujibu hoja badala ya attack binafsi
 
[emoji146][emoji146]
 
Alichokiiongea pfunky majani Na Walichojibu WCB Unaona ni jinsi gani WCB Wana utoto mwingi sanaaa..
Hoja inajibiwa kwa hoja sio kwa dhihakaView attachment 2295848
Hili ni jibu la Salam sio WCB acha kuchanganyikiwa, anatakiwa ajibu hayo maswali ya Salam sio wewe kulalamika humu, je ni kweli Majani ana lelewa mtoto na mke wake wa zamani na hao vijana waliopita WCB?
 
Kajala na majani walishaachana kitambo inaonekana penzi la harmo na kajala linawaumiza sana wcb kuliko majani mwenyewe,maana majani ana ndoa na keshamove on. Wcb walitakiwa kujibu hoja badala ya attack binafsi
Lina waumiza sana kama vile mafanikio ya WCB yanavyo muumiza Majani kila siku wako mdomoni mwake
 
Back
Top Bottom