Bifu la P-Funk na Wasafi Litafikia Kikomo?

Bifu la P-Funk na Wasafi Litafikia Kikomo?

kama hakuongea kwa fact na akajibiwa bila fact,zinakuwaje intrest za lebel???

iliyoshutumiwa ni lebel nzima,anajibu sallam.
Salam kakosea kumlipua mwamba kwa vitu personal lakini pia P Funk hakupaswa kujibiwa kwa kuwa yeye ni nani ajibiwe, mtu anaepaswa kujibiwa ni yule ambaye mhusika anapolalamika kwa watu au kupitia social media.

P Funk alitakiwa atoe udhibitisho kwa kuwa yeye ndio anaetoa tuhuma na sio kujibiwa
 
kama hakuongea kwa fact na akajibiwa bila fact,zinakuwaje intrest za lebel???

iliyoshutumiwa ni lebel nzima,anajibu sallam.
Ulitaka ijibu label asijibu mtu aliye kwenye label? Label ni watu na Sallam is part and parcel katika WCB.
 
kwenye iyo kesi P Funk alilipwa hela kutokana na mdundo(beat) sio nyimbo nzima
Midundo ambayo Prof J aliipia, vipi waliotia vinanda yule Mrundi Bizimana(Bizzman) na mtengeneza midundo Chief Rumanyika walipata kiasi gani kwenye hayo malipo? Intellectual rights zao walizipata kwa huo mdundo kutumika?
 
kuitetea brand sio kuropoka.

hana ushahidi umejuaje???wewe unafikiri pfunk ni mgeni wa mambo ya kisheria ndugu???kama wanahisi wamechafuka wafungue kesi lakini sababu yaliyosemwa yamewagusa ndio sababu unaona bondia anang'ata.

si wewe wala mimi tunaojua kama hata ushahidi.unajua majani sio mwehu mpaka aseme hayo.

umesoma huko juu,kama hutaki ni kiburi.
kwamba katika kila wimbo kuna haki ya aliyetengeneza beat,kama anachukua zote mpaka za wasanii na COSOTA wanamkabidhi,hilo sio swala lako wala WCB mwachie majani mwenyewe.

hii ni biashara sio msaada.kama unalipwa 60% kwanini uone ni kazi kumtangasa EA!!!

wanalipa 60%??
-Unaweza kuwa sahihi kuwa P Funk ana ushahidi lakini hata Sallam anaweza kuwa na ushahidi wa jinsi naye alivyomnyonyaji.
-Naamini kama yawezekana kuwa P Funk si kichaa hali kadhalika yawezekana pia Sallam naye si kichaa anajua asemacho na yuko sahihi kama alivyo sahihi Majani.
IMG_20220719_225823.jpg
 
Majani hana jipya na huyo sallam wake

Majani ni mda wake umepita kashaporwa majungu mengi hana cha maana kanyonya sana waulizwe wakina juma nature kapiga pesa za professor jay album kibao za wasanii kweny platform anachukua asilimia fulani likae tu like pesa angeenda huko uholanzi kwao

Mziki wa miaka hyo majani ,master j na huyo ruge walikuwa kama miuungu kucontrol kila kitu kila msanii lazima wapigwe asilimia wamnyoye sasa zama zimebadilika hata wcb itakuja kufa

Llikuwa Malaya limekuwa lizee limepata akili jing kabisa kuzalisha watoto wa watu na paula ujinga karithi kwa baba ake malipo hapa duniani kazalisha kila kona ndo hapa vijana tujitambue uhuni una mwisho wake simkubali majni hata asilimia zero
Hii sio hasira ya kawaida
 
We unajuaje kama hawalalamiki punguza shobo mjani hana kitu dhulmati kabisa yule hao wasanii walishatemana nae kitambo mpaka limzeeka malipo ndo haya anayofanyiwa mwanae na mkewe kuchezewa

Lilijifanya linajua kila elimu za mchongo kwenda kusoma nje kutumia pesa nyingine uwezo mdogo kwa vile


Wamedhulumu sana wakati wao umeisha nyie machoko kumtetea mjani mtu mbaya sana kujifanya kila yeye
Hawajui, wasanii walikuwa wanapigwa makofi mbele za watu, na mitusi juu, unataka kutoka hutaki.
 
Anayo yaongea Majani yana evidence?

Kaongea vitu ila vingine vina mrudia yeye?

Sababu hata hao akina Prof Jay na Nature hawana haki na nyimbo zao, kapewa dollar 50000 baada ya nyimbo ya Nikisaidieje kutumika na movie moja US, Prof alimpa ngapi?Mpaka kufikia level ya Prof kusambaza bakuli kwa ajili ya matibabu.

Vip Nature mmoja ya wasanii walioikamata bongo, ila cha ajabu kwa wasanii waliolipwa mirabaha hayupo, ila tulimwona yeye akienda BASATA kuvuta mzigo (japo najua sio mkubwa).

Chanzo cha beef lao ni baada ya kuomba apewe support ya msanii wake Raptcha, ila WCB wakamchomolea kwani pale kwao kila kitu biashara hamna cha bure.
Disney walitumia nyimbo ya Chameleon Bomboclat, sio nikusaidiaje ya professor Jay… beat ni mali ya producer na sio msanii, labda utoe mpunga mrefu kulinunua… unajua Pfunk alitumia kiasigani kuwalipa composers mbali mbali kwenye hilo beat?

Mfano aliyepiga kinanda yaweza kuwa bizman, soggy akaweka set ya drums, mixing majani mwenyewe na mastering chizan brain… nimetolea mfano tu….tatizo bongo ngoma ikitoka watu wanamjua muimbaji tu…

Muziki ni professional kama nyingine tu, hapo bado suala la ufuatiliaji wa hiyo hela kuanzia kwa Chameleon mpaka huko Disney nani alofanya na kwa gharama zipi?

Cheki hizo attached pics ndio utajua kuwa bongo nyoso… licha ya dre kuwa producer mkubwa hiyo beat imegongwa na Scott Storch, Jay z akaandika mashairi… Credit zimeenda kwa wahusika bila hofu yeyote… Pfunk alitaka kulita huo mfumo toka zamani kwa kushirikisha watu mbalimbali kwenye kazi za wasanii, mfano ile beat ya Ngwear she got gwan Soggy ana mkono wake mkubwa tu, tatizo hao wa cartel wa game bongo ndio hawataki Maendeleo ya sanaa zaidi ya Maendeleo yao binafsi kwanza.

Watu wamesacrifice mengi, imagine pfunk angefocus kwenye taaluma (uwezo ulikuwepo) hao watoto wa mbwa kala mbwanda ungewajulia wapi sijui… same with master Jay na yule mzungu Mika
 

Attachments

  • 98C77E1E-29C9-4A38-A8E9-CABECEE9FBEB.jpeg
    98C77E1E-29C9-4A38-A8E9-CABECEE9FBEB.jpeg
    64.1 KB · Views: 10
  • 654798E6-7C2A-4D63-B031-A49CE34FC9B0.png
    654798E6-7C2A-4D63-B031-A49CE34FC9B0.png
    36.6 KB · Views: 9
Hawajui, wasanii walikuwa wanapigwa makofi mbele za watu, na mitusi juu, unataka kutoka hutaki.
Enzi za majani mdosi ndio alikuwa anapiga hela ndefu, wao walikula kwenye show zaidi, mfano ugali ya Nature- kumbuka hapo Fella yule yule wa wasafi akiwa ndio boss wa Juma nature huku akila na cartels wa media hasa Joseph kusaga (Kumbuka kisa cha mtoto Iddi kumdhurumu hadi Joseph kusaga mpaka akawa anatafutwa alilipe deni alilokopa kwa bwana Joe) ….

Majani na ngoma za Tip top kuanzia kwa Madee, achilia mbali kina Pingu na Denso ile ngoma ya Joanita na kina keisha wote walikuwa chawa wa Abdul Bonge na Tale huyu huyu wa Wasafi… Infact wezi wa wasanii wapo clouds asili na usafini…. No wonder kote wapo hao hao….. Pfunk was just a victim kama Mika mwamba, MJ, Kameta, Ngwear and so forth, sema wengine vifua vya ku-come out of the closet hawana
 
P Funk Majani Ni Bulldozer.

Amechonga Barabara kubwa katika Sanaa ya mziki ambayo Hadi Kufika leo Hapa Inatakiwa Tumpe Maua Yake.

Kitendo Cha Sallam Kumjibu vibaya ni Kumkosea heshima.
................

Baada ya mahojiano aliyoyafanya Producer mkongwe hapa nchini Pmajani na Bongofive ambapo alieleza namna WCB inavyowakandamiza wasanii wake pale wanapotaka kutoka katika lebo hiyo.

Msanii Babalevo alipost kupitia Instagram yake na kutoa maoni na baada ya maneno hayo kuyaona Majani alikuja kwenye comment na kudadavua namna wasanii na maproducer akiwatolea mfano lizerclassic na s2kizzy wanavyonyonywa stahiki zao pale wanapofanya kazi na WCB lakini pia akienda mbali zaidi akiwatolea mfano Rayvanny na Harmonize.

Baada ya comment hiyo alikuja meneja wa Diamondplatnumz sallam_sk na kumtolea povu Majani kwa kueleza pia Majani alivyowanyonya wasanii na kudai kuwa anaishia kuwapiga hao wasanii.
Majani ni sawa na ule msemo wa Kiswahel usemao NYANI HAONI KUNDULE.. wakati huo akiwa ndio producer anayevuma aliwanyanyasa na kuwanyanyapaa mno wasanii
 
Kwa hiyo Msanii kama Mboso kuwa WCB ananyonywa ama anafaidika?.

Maana ni vyema tujue mapema kabla naye hatujasikia kesho anasema hayo hayo.

Wale wenzake waliokuwa naye Yamoto Band wako wapi? huko walipo ni kheri kuliko alipo Mwenzao Mboso pale WCB?...kwa hiyo akija Beka au Enock akamwambia Mboso "toka huko unanyonywa njoo huku nilipo" Mboso atatoka na kumfuata Beka?.

Ninachokiona mimi ni kuwa kuna elimu kubwa inayohitajika kwa Wasanii haswa ukizingatia wengi wanatokea kwenye mazingira magumu yanayowapa nafasi finyu ya kuwa na uchaguzi sahihi haswa kwenye upande wa kusaini mikataba.

Hayo yanayowaliza Wasanii leo vipi kama wangepambana nayo kabla yakusaini?...tumeona hapa juzi kati kuna Mchezaji kutoka nje na aliyezua gumzo nchini tunaambiwa walitumia karibia siku nzima kujadili mkataba kabla ya kukubali kuusaini maana anajua fika akishasaini hatokuwa na uchaguzi tena zaidi ya kutekeleza masharti ya mkataba.

Pia ni vyema Wasanii wawe na tabia ya kujikumbusha mikataba yao mara kwa mara kujua wapo kwenye mazingira gani kabla hawajaamua kufanya maamuzi yanayowalazimisha kuomba huruma ya Wananchi.
 
Master Jay yupo vizuri pili jamaa ana degree ya Electrical Engineering kutoka Uholanzi plus Sound Engineering, elimu inasaidia na ndio mana wasanii weliosoma miaka ya nyuma pamoja mziki kuwakataa il bado wapo vizuri.
Kasomea Zion collage ya uko uholanzi

Angekuwa kichwa angegusa UDSM
 
Kasomea Zion collage ya uko uholanzi

Angekuwa kichwa angegusa UDSM
Ndio tabu ya kuklemisha vipi walio soma Oxford au MIT sio vichwa.

Master Jay husimchukulie poa mama yupo UN kitambo,so hivyo vitu kwake vidogo.
 
Back
Top Bottom