Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Salam kakosea kumlipua mwamba kwa vitu personal lakini pia P Funk hakupaswa kujibiwa kwa kuwa yeye ni nani ajibiwe, mtu anaepaswa kujibiwa ni yule ambaye mhusika anapolalamika kwa watu au kupitia social media.kama hakuongea kwa fact na akajibiwa bila fact,zinakuwaje intrest za lebel???
iliyoshutumiwa ni lebel nzima,anajibu sallam.
P Funk alitakiwa atoe udhibitisho kwa kuwa yeye ndio anaetoa tuhuma na sio kujibiwa