Bifu la Rayvanny na Harmonize halijaanza jana wala leo

msitake kuhamisha magoli.,ni kiki alikua anatafuta and it turned out to be bad,he should face consequences and learn,..mbaya Intermet never forgets, linakua kama jinamizi vile..pole sana in advance..pray kama unaamini in prayers....
Nilitaka nishangae upite hivi hivi bila kumtetea mwanao konde boy aka pfunk majani wapili [emoji3]

Paula sio mtoto mdogo wala sio mwanafunz....

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Kesi ya kutoka na kident mwendesha mashtaka ni dpp na ushahidi upo wazi, hamna hamna sana Vanboy anakula 5 years ngomeni
Hakuna kesi hapo mkuu...just wait and see. Sheria ya elimu inasema atakayempa mimba mwanafunzi anatenda kosa la jinai...haisemi kuwa atakayekuwa na uhusiano na mwanafunzi anatenda jinai.

So ukimpa mimba mwanafunzi...jela inakuita...30 years. Swali la kujiuliza ni kuwa Paula ni mwanafunzi? Anasoma wapi? Kama si mwanafunzi ana umri gani?
 
Zile millioni 500 mnaenda kuzirudisha kiulaini sana. Paula kafaulu kujiunga na kidato cha tano na shule alishakubaliwa. Nyie endeleeni ktengeneza bifu za kusadikika. Huyo Ray ana mpunga gani wakati alifukuzwa kwenye ghorofa kisa kodi ya millioni 2 tu
 
Baba mkwe akiwasili polisi kwa ajili ya kumfungulia kesi Ray vanny.


Alafu na jiuliza wazee wa siku hizi sio wakali,huyu Harmonize anakuja kituoni kam nani ina maana Mzee Masanja kishachukua mahali yake.
 
Ndio namtetea, ngojana wewe uzae mtoto wa kike utaelewa why...

Watoto tunao lakini hawawezi kuishi kama Paula ,

Kwenye hili mama yake ndo abebe mzigo wote baba yake Paula kalalamika mara nyingi lkn kutwa Paula na mama yake kumsema Pfunk

Me naona wanazidi kum-expose Paula sasa subilia after hili uone katakavyogawanwa kama mpira wa kona watu wameshaona kumbe kanalika kiulaini kabisaaa
 
Acheni umalaya halafu mnakuja kulialia kama mbwa koko mitandaoni.

Kika mtu dunia hii akisema ajirejodi anafanya mapenzi, duniani hapatosha.
 
Hizo takwimu za vipato umezipata kutoka chanzo kipi?
 
Zile millioni 500 mnaenda kuzirudisha kiulaini sana. Paula kafaulu kujiunga na kidato cha tano na shule alishakubaliwa. Nyie endeleeni ktengeneza bifu za kusadikika. Huyo Ray ana mpunga gani wakati alifukuzwa kwenye ghorofa kisa kodi ya millioni 2 tu
Wwe mbuz nafasi za kidato cha tano hazijatoka bado!!!! Halafu kuna option aende chuo ama advance ....

Usinambie if paula akaenda College je???? Mtaweka wap sura zenu!!?

Halafu yule alikua mtahiniwa Binafsi....pc..So advantage ya kuchaguliwa Advance ni ndogo labda aende binafsi///

Lakin kwa sasa sio mwanafunz....na kama ni mwanafunzi " swali wa shule ip!!?

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Jipige kifuani mara tatu kisha sema ..

Mimi sinza pazuri ni kajinga na kabwege


Unaandika utumbo kwenye jambo ambalo liko wazi???


Izi tope za kiCCM huwa mnazitoa wapi?

Au ndo ushabiki wa kijinga jinga


Hamo kwa sasa yupo na Kajala.

Na kama mwanaume wa Kajala,ni wajibu wake kumsimamia Kajala ktk mambo yote yanayohitaji uwajibikaji wa Mwanaume.
 
Mimi Vanny boi mtu mbaya kanifurahisha sana kukiatafuna kile kitoto maana mama yake aliambiwa akawa mjuaji...

Harmonize nimekubali mnafki kichizi yaani ile comment yake kasaga sana kunguni na kingine kinachomuuma akitoa ngoma watu hawashtuki ametoa ngoma na yule Angella na kabla ya kutoa alipiga sana promo maneno kibao mwisho wa siku imebuma ndo anazidi kuvurugwa.
 
Paula ni Priavte Candidate yupo nje ya mfumo rasmi hata angepewa mimba hakuna kesi..labda afunguliwe kesi ya uzalilishaji vinginevyo hakuna kesi.
 
Maelezo Yako Yamekaa Kinafki , Mtindo Wa Kujirekodi Sio Mzuri Kwa Maadili Yetu Ya Kitanzania
 
Kajala ni nyoka na amezaa nyoka. Lawama ni juu ya mama maana hata baba alishasanda.
Japokuwa mtoto akiamua kuharibika huwezi kuzuia, ila kajala Naye wakulaumiwa wewe Ana mtoto wa kike Yuko mtandaoni na konde wanaofanya ujinga watanzania wote tunaona, halafu Leo aje ajiite ni mama bora sijui Ana machungu mwanae katafunwa, sijui kazimia.
Ila harmo Naye hii issue Angekaa mbali nayo, baba mzazi mwenyewe hajatoa tamko inakuaje harmo anakuwa mstari wa mbele Kama tundu ya bunduki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…