Bifu la Rayvanny na Harmonize halijaanza jana wala leo


Kuna watoto wa get ikali wanapewa ujauzito pia.na hao ni kosa la mama zao? Kati ya hao wawili RayVany ni mkubwa alitakiwa atumie akili zaidi...
 
Baba mkwe akiwasili polisi kwa ajili ya kumfungulia kesi Ray vanny.


Alafu na jiuliza wazee wa siku hizi sio wakali,huyu Harmonize anakuja kituoni kam nani ina maana Mzee Masanja kishachukua mahali yake.
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Uchawa kazi kweli..huyo Ray amefanya jambo la kitoto ingekuwa Marekani ndio sanaa yake ingeishia hapo makampuni yote yangeacha kufanya nae kazi ila huku kwetu unafiki tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] heeeeh kuna watu wapambe weee hapana,
 
Kuna watoto wa get ikali wanapewa ujauzito pia.na hao ni kosa la mama zao? Kati ya hao wawili RayVany ni mkubwa alitakiwa atumie akili zaidi...
Rayvanny mwenye bado mtoto mdogo. Ila umaarufu ndio unafanya aonekane kama mtu mzima, ila bado anahitaji uangalizi wa watu wazima kama ilovyo kwa Paula
 
Huu ndio uanaume sasa, [emoji120][emoji120][emoji120]
Hujawahi kukosea yaan.
 
Jamaa ana roho mbaya yaani anatamani mwenzie apigwe mvua za kutosha.


Mwisho wa ubaya aibu. Tutamwona Vanny Boy anadunda kitaa yeye atabaki na aibu tu. Na aishi hivyohivyo perfect, siku akiyakanyaga tu, sisi tushajua lawama atapewa nani?
 
Hii ishu HARMONIZE itamtafuna baadae atakapoacha na kajala na si mbali hata miezi 6 hamalizi..sio kwamba Rayvanny kafanya kitu poa ila watu watashangaa sana usinitch wa jamaa kumchomea mwenzie utambi utadhani hawakuwahi kukaa pamoja kwenye maisha yao kaenda mbali zaidi amekua front kwenda kushtaki ...nina amini wasanii wengi kwa sasa hawatakua tayari kua beneti na jamaa kiufupi ametengeneza maadui wapya bila kujua.sijui kama Rayvanny kama itataokea(japo nafahamu anashinda kesi asubuhi tu) akafungwa atajisikiaje na kwa jinsi alivyo mnafiki atakuja tena kumuombea msamaha Jamhuri impunguzie adhabu.
Mwisho wa ubaya aibu. Tutamwona Vanny Boy anadunda kitaa yeye atabaki na aibu tu. Na aishi hivyohivyo perfect, siku akiyakanyaga tu, sisi tushajua lawama atapewa nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…