Bifu la Rayvanny na Harmonize halijaanza jana wala leo

Bifu la Rayvanny na Harmonize halijaanza jana wala leo

Watoto tunao lakini hawawezi kuishi kama Paula ,

Kwenye hili mama yake ndo abebe mzigo wote baba yake Paula kalalamika mara nyingi lkn kutwa Paula na mama yake kumsema Pfunk

Me naona wanazidi kum-expose Paula sasa subilia after hili uone katakavyogawanwa kama mpira wa kona watu wameshaona kumbe kanalika kiulaini kabisaaa

Kuna watoto wa get ikali wanapewa ujauzito pia.na hao ni kosa la mama zao? Kati ya hao wawili RayVany ni mkubwa alitakiwa atumie akili zaidi...
 
Baba mkwe akiwasili polisi kwa ajili ya kumfungulia kesi Ray vanny.



Alafu na jiuliza wazee wa siku hizi sio wakali,huyu Harmonize anakuja kituoni kam nani ina maana Mzee Masanja kishachukua mahali yake.

🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hii bifu ilikuwa ya chini chini ila sasa inaenda kuwa kubwa sana baada ya Hamo kwenda kumfungulia Rayvanny kesi polisi.

Hii scandal inayoendelea ni zuga tu ila watu wana bifu zao za kitambo.

Chanzo cha bifu ni mzungu, mzungu alimshobokea Vanny Boy na chui hakupepesa macho akampelekea moto shida ndio ilianzia hapo.

Kingine kinachomuuma Hamo ni ile kudhani atakuwa msanii no 2 akijitenga na Wasafi badala yake kwa sasa msanii namba mbili kwa kupiga pesa mtandaoni ni Rayvanny na no3 ni Kiba. Hili linamuumiza sana Hamo kuona expectations zake hazijaenda anavyotaka maana alienda mpaka kuomba ubalozi wa bei rahisi akidhani ndio itakuwa strategy ya kujenga brand matokeo yake brand imezidi kuwa ndogo ameshindwa mpaka kuzijaza club ikabidi acancel tour ya clubs.

Sasa naona kajigeuza Pfunk Majani yeye ndio kaenda kufungua kesi na ndio ameisukuma hii ishu mpaka kuwa kubwa, wanaojua wanajua lile gazeti la kajala linafanana na la leo. Inawezekana Ray kakosea ila tunajiuliza huu uchungu kwa Paula huyu mmakonde kautoa wapi?

Alimchonganisha Mavoko mpka akagombana na Diamond sababu amezoea maisha ya kinafki, uchonganishi na fitna za kusini.

We all know Chui ni mtu poa sana uwa hanaga shida na mtu na atavuka fresh huu mtihani ila mmakonde tutaenda sawa aina shida.
Uchawa kazi kweli..huyo Ray amefanya jambo la kitoto ingekuwa Marekani ndio sanaa yake ingeishia hapo makampuni yote yangeacha kufanya nae kazi ila huku kwetu unafiki tu
 
Katika watu ambao nawakubali ni vany boy , mtu humble Sana mshikaj , ukweli ni kuwa mademu wanamshobokea Sana mwamba Zaid hata ya Mond , ..... Sema ndo hvyo mshikaj hapend makuu .... Kingine Vannyboy kumchapa Paula Konde imemuuma Sana mana huenda na yeye target ilikuwa kuwa karbu na hako katoto , kuzikwa Kwa Kiki yake na Kajala ndo kanuna Zaid , ......

Uzuri Paula mwenyewe kazima Kwa mtu mbaya Vanny boy [emoji1787] afe kipa afe beki demu yupo upande wa mwamba .... Na ameahdi kumpa yoteeee ma-mae
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] heeeeh kuna watu wapambe weee hapana,
 
Kuna watoto wa get ikali wanapewa ujauzito pia.na hao ni kosa la mama zao? Kati ya hao wawili RayVany ni mkubwa alitakiwa atumie akili zaidi...
Rayvanny mwenye bado mtoto mdogo. Ila umaarufu ndio unafanya aonekane kama mtu mzima, ila bado anahitaji uangalizi wa watu wazima kama ilovyo kwa Paula
 
Jipige kifuani mara tatu kisha sema ..

Mimi sinza pazuri ni kajinga na kabwege


Unaandika utumbo kwenye jambo ambalo liko wazi???


Izi tope za kiCCM huwa mnazitoa wapi?

Au ndo ushabiki wa kijinga jinga


Hamo kwa sasa yupo na Kajala.

Na kama mwanaume wa Kajala,ni wajibu wake kumsimamia Kajala ktk mambo yote yanayohitaji uwajibikaji wa Mwanaume.
Huu ndio uanaume sasa, [emoji120][emoji120][emoji120]
Hujawahi kukosea yaan.
 
Jamaa ana roho mbaya yaani anatamani mwenzie apigwe mvua za kutosha.
Huyu jamaa ako na unafki sana[emoji57][emoji57]
Screenshot_20210215-193000.jpg
 
Hii ishu HARMONIZE itamtafuna baadae atakapoacha na kajala na si mbali hata miezi 6 hamalizi..sio kwamba Rayvanny kafanya kitu poa ila watu watashangaa sana usinitch wa jamaa kumchomea mwenzie utambi utadhani hawakuwahi kukaa pamoja kwenye maisha yao kaenda mbali zaidi amekua front kwenda kushtaki ...nina amini wasanii wengi kwa sasa hawatakua tayari kua beneti na jamaa kiufupi ametengeneza maadui wapya bila kujua.sijui kama Rayvanny kama itataokea(japo nafahamu anashinda kesi asubuhi tu) akafungwa atajisikiaje na kwa jinsi alivyo mnafiki atakuja tena kumuombea msamaha Jamhuri impunguzie adhabu.
Mwisho wa ubaya aibu. Tutamwona Vanny Boy anadunda kitaa yeye atabaki na aibu tu. Na aishi hivyohivyo perfect, siku akiyakanyaga tu, sisi tushajua lawama atapewa nani?
 
Back
Top Bottom