Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
Mwanaume real man, huwezi kuta aandika hilo gazeti. Maneno mengi ila tilalila tupuHuyu jamaa ako na unafki sana[emoji57][emoji57]View attachment 1703714
Yule mtoto au malaya tu wa mtandao angekua na hayo maadili tusingemuona anajiachia na nguo za ajabu mitandaoni. Alichokosea rey labda kupost ila hamna ishu ya mtoto ni binti mkubwa tu anaejitambua nini anafanya.Kuna watoto wa get ikali wanapewa ujauzito pia.na hao ni kosa la mama zao? Kati ya hao wawili RayVany ni mkubwa alitakiwa atumie akili zaidi...
msitake kuhamisha magoli.,ni kiki alikua anatafuta and it turned out to be bad,he should face consequences and learn,..mbaya Intermet never forgets, linakua kama jinamizi vile..pole sana in advance..pray kama unaamini in prayers....
Ndo wanaenda kuchapika wote yeye na hawara yake .... Watulipe Kwanza kuchafua brand ya Mobetojaman kuna vitu mnachanganya hapa, uhumble wa vanny boy na kuvunja sheria havina uwiano hata kidogo kila kitu kinajitegemea ...na anachofanya harmo hata wewe ungefanya, jamaa ndio step father wa paula, mapenz yana nguvu sana mwanamke atakuwa kamwomba jamaa amsapoti...
Udanganyi mzee umeshusha nondo.Hatakama Ray ana makosa ndo njomba nchumali aandike waraka wa kumshauri public?.
Huo ni unafiki kama aliona baharia mwenzie kakosea kwanini asimfuate chimbo ampe muongozo kuliko kuandika maneno meeengi kama taarabu ya isha mashauzi kumkandia mwenzie hadharani kama vile ?
NB
Mmakonde nae pisi Kali tu kufuatilia kesi ya Paula wakati so goli lake,na wakati P funk mwenye mali katulia ni umama!
Nadanganya ndugu zangu?
Hahahaaa bora hamonaizi alivyomuacha ,kuwa na demu kicheche ni aibu.Mkuu Sara hata wewe ukizidisha Juhudi unapiga fresh...
@sinza pazuri we ME or KE?[emoji1745][emoji1745][emoji849][emoji849][emoji15][emoji15]Hii bifu ilikuwa ya chini chini ila sasa inaenda kuwa kubwa sana baada ya Hamo kwenda kumfungulia Rayvanny kesi polisi.
Hii scandal inayoendelea ni zuga tu ila watu wana bifu zao za kitambo.
Chanzo cha bifu ni mzungu, mzungu alimshobokea Vanny Boy na chui hakupepesa macho akampelekea moto shida ndio ilianzia hapo.
Kingine kinachomuuma Hamo ni ile kudhani atakuwa msanii no 2 akijitenga na Wasafi badala yake kwa sasa msanii namba mbili kwa kupiga pesa mtandaoni ni Rayvanny na no3 ni Kiba. Hili linamuumiza sana Hamo kuona expectations zake hazijaenda anavyotaka maana alienda mpaka kuomba ubalozi wa bei rahisi akidhani ndio itakuwa strategy ya kujenga brand matokeo yake brand imezidi kuwa ndogo ameshindwa mpaka kuzijaza club ikabidi acancel tour ya clubs.
Sasa naona kajigeuza Pfunk Majani yeye ndio kaenda kufungua kesi na ndio ameisukuma hii ishu mpaka kuwa kubwa, wanaojua wanajua lile gazeti la kajala linafanana na la leo. Inawezekana Ray kakosea ila tunajiuliza huu uchungu kwa Paula huyu mmakonde kautoa wapi?
Alimchonganisha Mavoko mpka akagombana na Diamond sababu amezoea maisha ya kinafki, uchonganishi na fitna za kusini.
We all know Chui ni mtu poa sana uwa hanaga shida na mtu na atavuka fresh huu mtihani ila mmakonde tutaenda sawa aina shida.
Hold on...mkuu we KE Or ME?[emoji849][emoji15][emoji15][emoji15]Katika watu ambao nawakubali ni vany boy , mtu humble Sana mshikaj , ukweli ni kuwa mademu wanamshobokea Sana mwamba Zaid hata ya Mond , ..... Sema ndo hvyo mshikaj hapend makuu .... Kingine Vannyboy kumchapa Paula Konde imemuuma Sana mana huenda na yeye target ilikuwa kuwa karbu na hako katoto , kuzikwa Kwa Kiki yake na Kajala ndo kanuna Zaid , ......
Uzuri Paula mwenyewe kazima Kwa mtu mbaya Vanny boy [emoji1787] afe kipa afe beki demu yupo upande wa mwamba .... Na ameahdi kumpa yoteeee ma-mae
Acha kutumia TECNO kwanzaHold on...mkuu we KE Or ME?[emoji849][emoji15][emoji15][emoji15]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Jibu swali[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Acha kutumia TECNO kwanza
Maneno meeengi ila lazima vani akanyee debeHii bifu ilikuwa ya chini chini ila sasa inaenda kuwa kubwa sana baada ya Hamo kwenda kumfungulia Rayvanny kesi polisi.
Hii scandal inayoendelea ni zuga tu ila watu wana bifu zao za kitambo.
Chanzo cha bifu ni mzungu, mzungu alimshobokea Vanny Boy na chui hakupepesa macho akampelekea moto shida ndio ilianzia hapo.
Kingine kinachomuuma Hamo ni ile kudhani atakuwa msanii no 2 akijitenga na Wasafi badala yake kwa sasa msanii namba mbili kwa kupiga pesa mtandaoni ni Rayvanny na no3 ni Kiba. Hili linamuumiza sana Hamo kuona expectations zake hazijaenda anavyotaka maana alienda mpaka kuomba ubalozi wa bei rahisi akidhani ndio itakuwa strategy ya kujenga brand matokeo yake brand imezidi kuwa ndogo ameshindwa mpaka kuzijaza club ikabidi acancel tour ya clubs.
Sasa naona kajigeuza Pfunk Majani yeye ndio kaenda kufungua kesi na ndio ameisukuma hii ishu mpaka kuwa kubwa, wanaojua wanajua lile gazeti la kajala linafanana na la leo. Inawezekana Ray kakosea ila tunajiuliza huu uchungu kwa Paula huyu mmakonde kautoa wapi?
Alimchonganisha Mavoko mpka akagombana na Diamond sababu amezoea maisha ya kinafki, uchonganishi na fitna za kusini.
We all know Chui ni mtu poa sana uwa hanaga shida na mtu na atavuka fresh huu mtihani ila mmakonde tutaenda sawa aina shida.
Hivi ni masai yuleSara kumbe ni Jamvi la wageni aka mlezi wa wana,nilijua aliteleza kwa Mwarabu Figher kumbe ndio tabia yake,kweli wamasai walimfundisha tabia mbaya.
Upo sahihi sana, kula Golf GTI mpya ya mwaka 2015. Rayvanny kakosea, hatukatai, ila jamaa kasaga kunguni kishenzi as if hilo jambo haliwezekani kuitwa Rayvanny kiutu uzima au kisheria na kukanywa kuliko yeye alivyo jibebesha zigo la maviHii ishu HARMONIZE itamtafuna baadae atakapoacha na kajala na si mbali hata miezi 6 hamalizi..sio kwamba Rayvanny kafanya kitu poa ila watu watashangaa sana usinitch wa jamaa kumchomea mwenzie utambi utadhani hawakuwahi kukaa pamoja kwenye maisha yao kaenda mbali zaidi amekua front kwenda kushtaki ...nina amini wasanii wengi kwa sasa hawatakua tayari kua beneti na jamaa kiufupi ametengeneza maadui wapya bila kujua.sijui kama Rayvanny kama itataokea(japo nafahamu anashinda kesi asubuhi tu) akafungwa atajisikiaje na kwa jinsi alivyo mnafiki atakuja tena kumuombea msamaha Jamhuri impunguzie adhabu.
Upo sahihi sana, kula Golf GTI mpya ya mwaka 2015. Rayvanny kakosea, hatukatai, ila jamaa kasaga kunguni kishenzi as if hilo jambo haliwezekani kuitwa Rayvanny kiutu uzima au kisheria na kukanywa kuliko yeye alivyo jibebesha zigo la mavi