Bifu la Rayvanny na Harmonize halijaanza jana wala leo

Hatakama Ray ana makosa ndo njomba nchumali aandike waraka wa kumshauri public?.
Huo ni unafiki kama aliona baharia mwenzie kakosea kwanini asimfuate chimbo ampe muongozo kuliko kuandika maneno meeengi kama taarabu ya isha mashauzi kumkandia mwenzie hadharani kama vile ?
NB
Mmakonde nae pisi Kali tu kufuatilia kesi ya Paula wakati so goli lake,na wakati P funk mwenye mali katulia ni umama!

Nadanganya ndugu zangu?
 
Kuna watoto wa get ikali wanapewa ujauzito pia.na hao ni kosa la mama zao? Kati ya hao wawili RayVany ni mkubwa alitakiwa atumie akili zaidi...
Yule mtoto au malaya tu wa mtandao angekua na hayo maadili tusingemuona anajiachia na nguo za ajabu mitandaoni. Alichokosea rey labda kupost ila hamna ishu ya mtoto ni binti mkubwa tu anaejitambua nini anafanya.
 
jaman kuna vitu mnachanganya hapa, uhumble wa vanny boy na kuvunja sheria havina uwiano hata kidogo kila kitu kinajitegemea ...na anachofanya harmo hata wewe ungefanya, jamaa ndio step father wa paula, mapenz yana nguvu sana mwanamke atakuwa kamwomba jamaa amsapoti...
 
Ndo wanaenda kuchapika wote yeye na hawara yake .... Watulipe Kwanza kuchafua brand ya Mobeto
 
Hatakama Ray ana makosa ndo njomba nchumali aandike waraka wa kumshauri public?.
Huo ni unafiki kama aliona baharia mwenzie kakosea kwanini asimfuate chimbo ampe muongozo kuliko kuandika maneno meeengi kama taarabu ya isha mashauzi kumkandia mwenzie hadharani kama vile ?
NB
Mmakonde nae pisi Kali tu kufuatilia kesi ya Paula wakati so goli lake,na wakati P funk mwenye mali katulia ni umama!

Nadanganya ndugu zangu?
Udanganyi mzee umeshusha nondo.
 
Hii bifu ilikuwa ya chini chini ila sasa inaenda kuwa kubwa sana baada ya Hamo kwenda kumfungulia Rayvanny kesi polisi.

Hii scandal inayoendelea ni zuga tu ila watu wana bifu zao za kitambo.

Chanzo cha bifu ni mzungu, mzungu alimshobokea Vanny Boy na chui hakupepesa macho akampelekea moto shida ndio ilianzia hapo.

Kingine kinachomuuma Hamo ni ile kudhani atakuwa msanii no 2 akijitenga na Wasafi badala yake kwa sasa msanii namba mbili kwa kupiga pesa mtandaoni ni Rayvanny na no3 ni Kiba. Hili linamuumiza sana Hamo kuona expectations zake hazijaenda anavyotaka maana alienda mpaka kuomba ubalozi wa bei rahisi akidhani ndio itakuwa strategy ya kujenga brand matokeo yake brand imezidi kuwa ndogo ameshindwa mpaka kuzijaza club ikabidi acancel tour ya clubs.

Sasa naona kajigeuza Pfunk Majani yeye ndio kaenda kufungua kesi na ndio ameisukuma hii ishu mpaka kuwa kubwa, wanaojua wanajua lile gazeti la kajala linafanana na la leo. Inawezekana Ray kakosea ila tunajiuliza huu uchungu kwa Paula huyu mmakonde kautoa wapi?

Alimchonganisha Mavoko mpka akagombana na Diamond sababu amezoea maisha ya kinafki, uchonganishi na fitna za kusini.

We all know Chui ni mtu poa sana uwa hanaga shida na mtu na atavuka fresh huu mtihani ila mmakonde tutaenda sawa aina shida.
@sinza pazuri we ME or KE?[emoji1745][emoji1745][emoji849][emoji849][emoji15][emoji15]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Katika watu ambao nawakubali ni vany boy , mtu humble Sana mshikaj , ukweli ni kuwa mademu wanamshobokea Sana mwamba Zaid hata ya Mond , ..... Sema ndo hvyo mshikaj hapend makuu .... Kingine Vannyboy kumchapa Paula Konde imemuuma Sana mana huenda na yeye target ilikuwa kuwa karbu na hako katoto , kuzikwa Kwa Kiki yake na Kajala ndo kanuna Zaid , ......

Uzuri Paula mwenyewe kazima Kwa mtu mbaya Vanny boy [emoji1787] afe kipa afe beki demu yupo upande wa mwamba .... Na ameahdi kumpa yoteeee ma-mae
Hold on...mkuu we KE Or ME?[emoji849][emoji15][emoji15][emoji15]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Ma
Hii bifu ilikuwa ya chini chini ila sasa inaenda kuwa kubwa sana baada ya Hamo kwenda kumfungulia Rayvanny kesi polisi.

Hii scandal inayoendelea ni zuga tu ila watu wana bifu zao za kitambo.

Chanzo cha bifu ni mzungu, mzungu alimshobokea Vanny Boy na chui hakupepesa macho akampelekea moto shida ndio ilianzia hapo.

Kingine kinachomuuma Hamo ni ile kudhani atakuwa msanii no 2 akijitenga na Wasafi badala yake kwa sasa msanii namba mbili kwa kupiga pesa mtandaoni ni Rayvanny na no3 ni Kiba. Hili linamuumiza sana Hamo kuona expectations zake hazijaenda anavyotaka maana alienda mpaka kuomba ubalozi wa bei rahisi akidhani ndio itakuwa strategy ya kujenga brand matokeo yake brand imezidi kuwa ndogo ameshindwa mpaka kuzijaza club ikabidi acancel tour ya clubs.

Sasa naona kajigeuza Pfunk Majani yeye ndio kaenda kufungua kesi na ndio ameisukuma hii ishu mpaka kuwa kubwa, wanaojua wanajua lile gazeti la kajala linafanana na la leo. Inawezekana Ray kakosea ila tunajiuliza huu uchungu kwa Paula huyu mmakonde kautoa wapi?

Alimchonganisha Mavoko mpka akagombana na Diamond sababu amezoea maisha ya kinafki, uchonganishi na fitna za kusini.

We all know Chui ni mtu poa sana uwa hanaga shida na mtu na atavuka fresh huu mtihani ila mmakonde tutaenda sawa aina shida.
Maneno meeengi ila lazima vani akanyee debe
 
Lazima vani akanyee debe, haiwezekani atie mtoto wa shule them apige picha akimla.

Msando kaulizwa kuhusu sheria zinasemaje akasema kuwa alochokisema Hamo ndio hiko hiko kudadeeki
 
Watoto wa kiume mnastory za udaku kama dada zenu !tafuteni hela nyie siyo mnakaa kudiscus kuhusu wanaume wengine as is if mnataka Na nyie kukandwa [emoji35]
 
Hii ishu HARMONIZE itamtafuna baadae atakapoacha na kajala na si mbali hata miezi 6 hamalizi..sio kwamba Rayvanny kafanya kitu poa ila watu watashangaa sana usinitch wa jamaa kumchomea mwenzie utambi utadhani hawakuwahi kukaa pamoja kwenye maisha yao kaenda mbali zaidi amekua front kwenda kushtaki ...nina amini wasanii wengi kwa sasa hawatakua tayari kua beneti na jamaa kiufupi ametengeneza maadui wapya bila kujua.sijui kama Rayvanny kama itataokea(japo nafahamu anashinda kesi asubuhi tu) akafungwa atajisikiaje na kwa jinsi alivyo mnafiki atakuja tena kumuombea msamaha Jamhuri impunguzie adhabu.
Upo sahihi sana, kula Golf GTI mpya ya mwaka 2015. Rayvanny kakosea, hatukatai, ila jamaa kasaga kunguni kishenzi as if hilo jambo haliwezekani kuitwa Rayvanny kiutu uzima au kisheria na kukanywa kuliko yeye alivyo jibebesha zigo la mavi
 
[emoji16][emoji16][emoji16] German machine.

Back
Top Bottom