Bifu la Rayvanny na Harmonize halijaanza jana wala leo

Bifu la Rayvanny na Harmonize halijaanza jana wala leo

msitake kuhamisha magoli.,ni kiki alikua anatafuta and it turned out to be bad,he should face consequences and learn,..mbaya Intermet never forgets, linakua kama jinamizi vile..pole sana in advance..pray kama unaamini in prayers....
[emoji16][emoji16][emoji16]sure mleta thread .. thread yake imeegemea upande 1 mnooo ... Mpaka nimeshangaa
 
Huyu mmakonde wivu unamsumbua kwaiyo alitaka mwana asipime oili?...mbona yy anabemendwa na bi mkubwa lakini wakulungwa tume mute...afu dogo vanny anafanya yy anang'ata meno...
 
Kuna watoto wa get ikali wanapewa ujauzito pia.na hao ni kosa la mama zao? Kati ya hao wawili RayVany ni mkubwa alitakiwa atumie akili zaidi...
Kwa mfano hapa unatumia akili gani zaidi ya dudu?

FB_IMG_1613474625448.jpg
 
Huu ndio uanaume sasa, [emoji120][emoji120][emoji120]
Hujawahi kukosea yaan.
Kunachonichekesha eti huyo mtoto mtu mzima anaitwa Paula Kajala, hivi hapa unaelewa maana yake ni nini?

Huto mtoto she designed by her Mother, kama issue hawataki ubini wa biological Father huyo kahaba Kajala angempa ubini wa baba yake, na siyo eti Paula Kajala.

Like mother like daughter, tupige hesabu za wazi hapa P Funk ameanza kumpiga dudu Kajala akiwa na umri gani? Na akamzaa Paula akiwa na umri gani? Leo watu na akili zenu eti huyu naye mnamweka kundi la watoto Juvenile? Really? Seriously?

Huu ni mzaha wa 2021, labda huyo Ray awe mstaharabu awe ajamtowa bikra ya pili kama bado ipo, maana ile bikra ya kwanza am sure fir 100% ilishatolewa siku nyingi tu.

Hiyo ni generation ya mafuska.

View attachment 1703862
🙄🙄🙄 na wazee wa WCB wanavyopenda kusifia kwa mpalange... Okwaaa Slowly
 
Hii bifu ilikuwa ya chini chini ila sasa inaenda kuwa kubwa sana baada ya Hamo kwenda kumfungulia Rayvanny kesi polisi.

Hii scandal inayoendelea ni zuga tu ila watu wana bifu zao za kitambo.

Chanzo cha bifu ni mzungu, mzungu alimshobokea Vanny Boy na chui hakupepesa macho akampelekea moto shida ndio ilianzia hapo.

Kingine kinachomuuma Hamo ni ile kudhani atakuwa msanii no 2 akijitenga na Wasafi badala yake kwa sasa msanii namba mbili kwa kupiga pesa mtandaoni ni Rayvanny na no3 ni Kiba. Hili linamuumiza sana Hamo kuona expectations zake hazijaenda anavyotaka maana alienda mpaka kuomba ubalozi wa bei rahisi akidhani ndio itakuwa strategy ya kujenga brand matokeo yake brand imezidi kuwa ndogo ameshindwa mpaka kuzijaza club ikabidi acancel tour ya clubs.

Sasa naona kajigeuza Pfunk Majani yeye ndio kaenda kufungua kesi na ndio ameisukuma hii ishu mpaka kuwa kubwa, wanaojua wanajua lile gazeti la kajala linafanana na la leo. Inawezekana Ray kakosea ila tunajiuliza huu uchungu kwa Paula huyu mmakonde kautoa wapi?

Alimchonganisha Mavoko mpka akagombana na Diamond sababu amezoea maisha ya kinafki, uchonganishi na fitna za kusini.

We all know Chui ni mtu poa sana uwa hanaga shida na mtu na atavuka fresh huu mtihani ila mmakonde tutaenda sawa aina shida.
Usilolijua ni sawa na usiku wa kiza
 
Utoto raha, yaan mtu na akili zake anakuja kumtetea Ray Van , siko upande wa Harmonize lakini watetezi wa Van Boy wajipime akili na wajue wao ni wazazi wajao au wa sasa,
Kitendo kama kile ndo maana R Kelly carrier yake imepotea,
Huku kwetu mtu anaanzisha thread kumtetea, kuna mtu aliwahi kusema humu mashabiki wa WCB ni nyumbu
Pathetic

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Sijapata kuona vituko vya baadhi ya members humu,et wanajidai kukandia ishu ya sisi kujadili humu habarii hii et sio wanaume sababu tunajadili ya watu huko na wenyewe wakiwa humu humu wanapitia comments zetu,
Hakika hakuna unafiki wa kiwango cha SGR kama wanaojidai wapo seriously kwenye jukwaa la celebrities,
Kama hampendi umbea na kujadili ya watu kwendraaaaaa jukwaa la dini na intelligence,mtupishe humu nyambaffffff.

Au nadanganya wadau?
 
Back
Top Bottom