Kweli ndugu yangu naona wanamwogopa au hawana ujumbe wamekalia majungu. Mbona issue ya juma kapuya watu walinyooka Mpaka kuweka Picha na isitoshe kapuya ni mtu maarufu?. Inaonesha hawana ushaidi kabisa au wamekumbwa na fichua maovu ya shigongo sasa wanaungaunga na Habari za kitoto hapa. Kama kweli wana hoja Hebu waweke sio kuruka ruka hapa
Nani tena uyo? Eeh ehh mm kule napitag tu wala sitii neno, kuna mtu alinitaja??
Halaf wanakuambia eti operation fuchua maovu manin.a zaoKuhusu Uwoya siyo kuwa walifumaniwa,isue ni kwamba Naseeb alilipwa wakaset na kameras tayari kwa picha na videos..ukitaka kuamini jiulize maswal haya,
1:walijuaje kuwa Naseeb na Uwoya wana appointment ya kukutana pale hotelini?
2:Nani aliwaeleza time ambayo watatimba hotelini hapo?
jaman hebu kueni sereous, gazeti hilihili la champion limefikia kuwa gazeti bora la michezo, basi hakuna aliyesalama...
Yap kuna mtu kakuita binamu warumii teh teh bina kinaendelea nini hukuu
Duh mbona majanga sasa , nataman nione Sijui wapi nimetajwa
Shigongo ni mchafu sana na asiestahili heshima anayoipata kutoka kwa jamii isiyomjua.
Mkikusanya data zenu kuhusiana na mtu huyu, nitafuteni niongezee mawili matatu machafu ya huyu jamaa anaejifanya mtakatifu na mtumishi wa dini. Hamtaamini
We ukiskia umbea na huu , we huna la kusema mpk watu waanze ndo uongrze chumvi , duh
Ngoja nikachungulie binamu
hahahahahaBinamu usisahau mrejeshoo tujee tuukalieeee halaf uende kule kwa odam nimeweka michambo ukacheke kidogoo
hahahahaha
Naona kuna team zimeundwa kunipoteza humu duh, msg za inbox hatar tupu