Bifu la Shigongo na Irene Uwoya

Bifu la Shigongo na Irene Uwoya

Kweli ndugu yangu naona wanamwogopa au hawana ujumbe wamekalia majungu. Mbona issue ya juma kapuya watu walinyooka Mpaka kuweka Picha na isitoshe kapuya ni mtu maarufu?. Inaonesha hawana ushaidi kabisa au wamekumbwa na fichua maovu ya shigongo sasa wanaungaunga na Habari za kitoto hapa. Kama kweli wana hoja Hebu waweke sio kuruka ruka hapa
 
wewe utakuwa mke wa shigongo sio buree
 
Binamutz nahisi unamatatizo ya kiakili. Kama unajambo lifichue sio utukane. Hapa unaonesha huna hoja weka mambo hadharani, ainisha maovu yake jamii imwelewe sio mnazunguka zunguka na umbea wenu hapa.
 
Kuhusu Uwoya siyo kuwa walifumaniwa,isue ni kwamba Naseeb alilipwa wakaset na kameras tayari kwa picha na videos..ukitaka kuamini jiulize maswal haya,

1:walijuaje kuwa Naseeb na Uwoya wana appointment ya kukutana pale hotelini?

2:Nani aliwaeleza time ambayo watatimba hotelini hapo?
Halaf wanakuambia eti operation fuchua maovu manin.a zao
 
Aaaah! Naogopa mie jamaa kawagegeda hadi wafanyakazi wake karibia wote, wapi mamaaa K,
 
Shigongo ni mchafu sana na asiestahili heshima anayoipata kutoka kwa jamii isiyomjua.
Mkikusanya data zenu kuhusiana na mtu huyu, nitafuteni niongezee mawili matatu machafu ya huyu jamaa anaejifanya mtakatifu na mtumishi wa dini. Hamtaamini

We ukiskia umbea na huu , we huna la kusema mpk watu waanze ndo uongrze chumvi , duh
 
Ooh This is soooo juicy! Najilambaje sasa? Kha! Bring it on, bring it on eenh heee ikawaje kwa nini Mama Kinu hampendi Sumaye? Alafu S.A huyu huyu jamani kweli anatibuliwa t..go. Ila mlaini afu mweupeee du! Sa ni njaa au? Teh teh nasubiri next episode mwee!
 
Binamu usisahau mrejeshoo tujee tuukalieeee halaf uende kule kwa odam nimeweka michambo ukacheke kidogoo

Naona kuna team zimeundwa kunipoteza humu duh, msg za inbox hatar tupu
 
Back
Top Bottom