Umetisha matusi proof hihiii watuache aiseeh tumeshashindikana humu
Ngoja nikukaribishe na hii , kuna umbea uko Insta umeenea eti dougie masta ni rmy Jones, yaan nimevumilia nikasema ata ngoja nimdakishe na binamu yangu
Umetisha matusi proof hihiii watuache aiseeh tumeshashindikana humu
Uwiiiiii niliona kwa mavii wanajiulizaa huyu dogie ni nanii hahhha ni noumaa watakomaje na umaarufu wao wa lazimaa
Etiii nini????
Halafu Jana niliona kwa
kajala yule rafiki yake anatumia id ya littlemap instagram
anlijichanganya akatumia id ya kumtusi Wema. Lol nilicheka kweli. Binamu
ulioona
naona kama taratibu wanajianika, tutawajua wote wanaotumia majina bandia insta kwa maslahi binafsi badala ya maslahi ya UMMA.
kumbe nawewe umeona eeh... yule sijui wemak.....yoo nae naona Leo kajiweka wazi hakuna marefu yasiyo na ncha kibaya zaidi k anamjua dog ndo maana hawezi mtusi limebaki lile chizi mati na id ya usipo jipanga. director alikula za uso nando mmiriki wa accnt ya dog ila watu hawaeliwi
naona kama taratibu wanajianika, tutawajua wote wanaotumia majina bandia insta kwa maslahi binafsi badala ya maslahi ya UMMA.
Mchakato upo poa kabisa. Maana Heaven on Earth ameshakaribia kumvua mmoja.. after that njia nyeuuuupee