Bifu la Shigongo na Irene Uwoya

Bifu la Shigongo na Irene Uwoya

Umetisha matusi proof hihiii watuache aiseeh tumeshashindikana humu

Yule mbwa shogaa aliekuwa anajiulizisha jinsiaa mbona hakurudii kulee yaan sasa atapangika na huo mdomo wake mchafu kama simtank la kinyesii sura mbaya kama avatar yake aende jukwaa la jinsia akaulizee maana hata sie hatujui jinsia yake heee akaogeee ananukaa chupii
 
Uwiiiiii niliona kwa mavii wanajiulizaa huyu dogie ni nanii hahhha ni noumaa watakomaje na umaarufu wao wa lazimaa

Halafu Jana niliona kwa kajala yule rafiki yake anatumia id ya littlemap instagram anlijichanganya akatumia id ya kumtusi Wema. Lol nilicheka kweli. Binamu ulioona
 
Halafu Jana niliona kwa
kajala yule rafiki yake anatumia id ya littlemap instagram
anlijichanganya akatumia id ya kumtusi Wema. Lol nilicheka kweli. Binamu
ulioona

naona kama taratibu wanajianika, tutawajua wote wanaotumia majina bandia insta kwa maslahi binafsi badala ya maslahi ya UMMA.
 
naona kama taratibu wanajianika, tutawajua wote wanaotumia majina bandia insta kwa maslahi binafsi badala ya maslahi ya UMMA.

kumbe nawewe umeona eeh... yule sijui wemak.....yoo nae naona Leo kajiweka wazi hakuna marefu yasiyo na ncha kibaya zaidi k anamjua dog ndo maana hawezi mtusi limebaki lile chizi mati na id ya usipo jipanga. director alikula za uso nando mmiriki wa accnt ya dog ila watu hawaeliwi
 
Dog masta ndo director Joan? Nilisikia at ni rommy Jones..siku iz izo account za matuc zimejaa hatar
 
naona kama taratibu wanajianika, tutawajua wote wanaotumia majina bandia insta kwa maslahi binafsi badala ya maslahi ya UMMA.

Mi Nina hamu ya kumjua team ukweli, maana yule ndo anakimbiza sana Insta kwa habar nyet za mastaa, anaongoza kwa kusomwa na mastaa na watu wengi mnoo
 
warumi niaje hutimizi ahadi yako? Sio kwa ubaya ila tunataka tufahamu upande wa pili wa watu tunaowaheshimu na kudhania kuwa mifano kwa kizazi chetu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom