Bifu la Shigongo na Irene Uwoya

Mbinguni kunamakaoo mazuriisana mbingiuni kweli kunamakAo ma zuri sana

Nae uwoya tutamwona

Na elia tutamwona

Na shigongo tutamwona

Tukifika nbinguni kwa Baba na uwoya/shigongo tutawaona
 
Mbinguni kunamakaoo mazuriisana mbingiuni kweli kunamakAo ma zuri sana

Nae uwoya tutamwona

Na elia tutamwona

Na shigongo tutamwona

Tukifika nbinguni kwa Baba na uwoya/shigongo tutawaona

Did funguka bwana,ina maana Mrs Ndi(tusi)na anatoka na bepari wa bamaga??!! Nilizan zamani na yashaishaga mahaba!!
 
Warumi ukiposti ya shigongo ni pm jamani nisije pitwa na umbea mods wasije delete kabla sijasoma bure
 
halafu Lulu ndio anatushauri tusipende kuhongwa na matajiri

sa nyingine mtu akikupa ushauri inabidi umtizame mara mbili mbili
According to warumi, Lulu c kwamba amehongwa bali katoa ile ki2 ya joto mingi nayobana eksaktile!
 
Watanzania acheni umbeya ninyi fanyeni kazi .mmekalia majungu wenzenu wanatandika mabomba ya gesi mkimaliza hao na gesi wanaelekea kwao
 
Watanzania acheni umbeya ninyi fanyeni kazi .mmekalia majungu wenzenu wanatandika mabomba ya gesi mkimaliza hao na gesi wanaelekea kwao

hvi unajua umbea wewe hafu umesema Watanzania means na wewe mmbea basi au Mkenya unataka wote tukatandaze mabomba ndo mana kuna distribution of work
 
Watanzania acheni umbeya ninyi fanyeni kazi .mmekalia majungu wenzenu wanatandika mabomba ya gesi mkimaliza hao na gesi wanaelekea kwao

Sasa wewe uku umefuata nn? Nyani haoni.......
aya pita iviii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…