Bifu la Shigongo na Irene Uwoya


binamu huyu mtu huyu ni hatari.,,,,OFM ilibidi ianze na yeye
 
Kua tajiri bila elimu lazima uwe mchawi, mwizi, muuaji huku migodini tulipo tunayaona ila cku hizi yamepungua sana matukio hayo, ila matajiri wa zamani wa tanzanite walikua balaaa ucpime

hahaa eti mtu anasema alikua anauza vitumbua then huo billionaire........

halafu zile stori zake anajifanyaga anaelezea maisha yake hadi alipofika

full kupindisha mambo halafu si aseme mtaji wa business alipata wapi
 
hahaa eti mtu anasema alikua anauza vitumbua then huo billionaire........

halafu zile stori zake anajifanyaga anaelezea maisha yake hadi alipofika

full kupindisha mambo halafu si aseme mtaji wa business alipata wapi

Kua tajiri ghafla ni ngumu labda uwe unauza gemstone zile za gharama, stori zke kma cinema za kihindi uwongo mwingi hataree unaweza zania anatunga yeye kumbe anatoa kwenye movie
 
Shigongo ni muuaji mkubwa! Alimshawishi mdogo wake wa kike aolewe na tajiri mmoja alikuwa anamiriki meri pale mwanza ili baadae waje wamuue wajimirikishe mali zote. Kweli mwisho wa siku jamaa alinyweshwa sumu akafa na mali zote+meri Shigongo na dadake wakataifisha!
Ntarudi kuwapa kisa kingine kilichomfanya atoroke kwao hatimae akaja jijini dsm! Stay tuned.
 

Jameni anzisheni sredi mupyaaaaaaaaa
Hii ya kanyela mumo hii twakosa ubuyu wa babu issa vizuri
Raha ya khabari kama hizi zisije kwa post kitu kiwe kinakuwa updated tu!
Cc Gossipcopwarumi
Binamu hebu tutendee haki yetu ya kikatiba
Kupata habari!
 
Last edited by a moderator:

hii iko deep sana..mange pekee ndio anaweza kuielezea
 

Umeniwahi Mkuu, we kiboko!
 
Mhh uzi uanzishwe watu watiririke. Ni mambo gani haya ya kuwekana roho juu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…