Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Nakupa muhtasari tu habari kamili atakupa warumi
nasikia jamaa ni boifrendi wa jamaa mwingine wa bongo movie
jioni njema
Hahhhhahhhhhahhhhahhha hiyo ninayoooooooo aiseee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakupa muhtasari tu habari kamili atakupa warumi
nasikia jamaa ni boifrendi wa jamaa mwingine wa bongo movie
jioni njema
Yaani nchi hii ukiwa tu namafanikio lazima watu wazue yao yaani watanzania wengi wanatabia za kichawi hawataki maendeleo ya wenzao
Mi nilichoka tu ile ishu yake na yule jamaa wa magereza ya ukonga , dah jamaa muuaji wa kimataifa, alitaka kumuua mh wa watu bure , ila ataumbuka tu soon, ulimwengu utamjua the real James shigongo, kuna jambaz la kitaifa lipo ukonga magereza lilitumwa kumuua mh flan(jina kapun) na funguo ya nyumba yake akapewa bahat nzuri hakumkuta, huu ubunge huu wa kulazimisha hatar
Ngoja thread ianzishwe na mkuu warumi, mimi nitamaliza.
Heaven on earth hayo co mambo kabisa yan wanibania info?sawa dada
binamu huyu mtu huyu ni hatari.,,,,OFM ilibidi ianze na yeye
umelazimishwa kucomment............wa wapi wewe
Dada i mean hiyo habari unayonificha ya Mr K
Kua tajiri bila elimu lazima uwe mchawi, mwizi, muuaji huku migodini tulipo tunayaona ila cku hizi yamepungua sana matukio hayo, ila matajiri wa zamani wa tanzanite walikua balaaa ucpime
hahaa eti mtu anasema alikua anauza vitumbua then huo billionaire........
halafu zile stori zake anajifanyaga anaelezea maisha yake hadi alipofika
full kupindisha mambo halafu si aseme mtaji wa business alipata wapi
Shigongo ni muuaji mkubwa! Alimshawishi mdogo wake wa kike aolewe na tajiri mmoja alikuwa anamiriki meri pale mwanza ili baadae waje wamuue wajimirikishe mali zote. Kweli mwisho wa siku jamaa alinyweshwa sumu akafa na mali zote+meri Shigongo na dadake wakataifisha!
Ntarudi kuwapa kisa kingine kilichomfanya atoroke kwao hatimae akaja jijini dsm! Stay tuned.
hivi nani ana clip ya part II Mzee K akiliwa kiboga kule Sinza?
watu walitemeshwa mil 70 wakaona bado.
Maskini......baba wa watu kajiua zake.
Kaona haitoshi....akataka adhulumu Triz Motel......maskini hakujua kuwa Sumuaye....angeng'oa gati....
Jamaa kaona isiwe tabu, usalam kapagwaya
Sahivi anatamani hata asingekuwa waziri.
Now ni paka na panya.
Hata afanye zuri gani.....hakohowi katu.
......kama hamjanielewa mnisamehe, naogopa kitanzi
Shigongo ni muuaji mkubwa!
Alimshawishi mdogo wake wa kike aolewe na tajiri mmoja alikuwa anamiriki
meri pale mwanza ili baadae waje wamuue wajimirikishe mali zote. Kweli
mwisho wa siku jamaa alinyweshwa sumu akafa na mali zote+meri Shigongo
na dadake wakataifisha!
Ntarudi kuwapa kisa kingine kilichomfanya atoroke kwao hatimae akaja
jijini dsm! Stay tuned.
Nakusanya timu kwanza ijae then nimwage mambo