Bifu la Shigongo na Irene Uwoya

Bifu la Shigongo na Irene Uwoya

Heaven plz niunganishe na link ya huyo K aliekufa coz of Shigongo,plz
 
anatumia dini kuficha maovu yake..........

Ngozi ya kondoo roho ya chui
Huyu jamaa ni mfir@ji mkubwaa , kuna kipindi nakumbuka ilikuwa 2011 kwenye press conference kuna mashoga wawil walikuwa wanamgombania shigongo ,kila mtu anasema wake , mzee kuona mambo magumu akakimbia, na mmoja kati ya hao mashoga aliuawa ghafla na maiti ilikutwa chumbani mwa huyo shoga mpaka kesho haijulikani nani muhusika , na inasemekana shigongo ndiye muhusika mkuu wa kifo cha huyo shoga mambo ya huyu mtumishi yanatisha, na kesi za kutongoza wake za watu ndo usiseme
Huu ni mwanzo ,just intro
 
Sioni hata mmoja anayeongea kitu straight huuu ni utoto, ujinga na woga kama una kitu kimenyoooka kiwekeni wazi kila mtu ajue nini ni nini, mtu unazunguka zunguka sijui ni akili au matope
 
Huyu jamaa mwaka 2004 alimkodisha ndg yngu ambaye alikuwa mission town wakamfanyizie demu 1 Mbotswana na kumbambikia yule demu changu.
Kingine pale hotelini kwake karibu na corner bar kunafanyika ufuska mbona sijaona habari yoyote ya OFM inayohusu ile hoteli yake.
 
Sioni hata mmoja anayeongea kitu straight huuu ni utoto, ujinga na woga kama una kitu kimenyoooka kiwekeni wazi kila mtu ajue nini ni nini, mtu unazunguka zunguka sijui ni akili au matope

Kumbe umbea mnaupenda sasa mnakoromaga nn? Ndo mtulize vinanii hvyoo
 
Huyu jamaa ni
mfir@ji mkubwaa , kuna kipindi nakumbuka ilikuwa 2011 kwenye press
conference kuna mashoga wawil walikuwa wanamgombania shigongo ,kila mtu
anasema wake , mzee kuona mambo magumu akakimbia, na mmoja kati ya hao
mashoga aliuawa ghafla na maiti ilikutwa chumbani mwa huyo shoga mpaka
kesho haijulikani nani muhusika , na inasemekana shigongo ndiye
muhusika mkuu wa kifo cha huyo shoga mambo ya huyu mtumishi yanatisha,
na kesi za kutongoza wake za watu ndo usiseme
Huu ni mwanzo ,just intro

Mbona madogo? Kuna jamaa walimdaka mkoa mkoa mmoja na wakam... sana! Ilikuwa issue ya mke wa mtu!
 
Huyu jamaa ni mfir@ji mkubwaa , kuna kipindi nakumbuka ilikuwa 2011 kwenye press conference kuna mashoga wawil walikuwa wanamgombania shigongo ,kila mtu anasema wake , mzee kuona mambo magumu akakimbia, na mmoja kati ya hao mashoga aliuawa ghafla na maiti ilikutwa chumbani mwa huyo shoga mpaka kesho haijulikani nani muhusika , na inasemekana shigongo ndiye muhusika mkuu wa kifo cha huyo shoga mambo ya huyu mtumishi yanatisha, na kesi za kutongoza wake za watu ndo usiseme
Huu ni mwanzo ,just intro

Binamu thread inakuja lini binamu
 
Heaven on earth hayo co mambo kabisa yan wanibania info?sawa dada
 
Nimepitia post zote kuhusiana na huyu jamaa ila inavyoelekea wengi wenu hamfahamu undani wa huyu jamaa. Nayajua maisha yake tangu miaka ya mwishoni mwa 198x mpaka 20xx mengi nimeyashuhudia live. Ndg zangu ni ushetani mtupu; ujambazi, utapeli,mauaji, engagement in illegal businesses including drug deals etc etc etc.
Msimuone hivyo jamaa ana roho mbaya sana ila ukimcheki machoni ni kama mtu kumbe shetani.
Msione watu matajiri tu, huyu jamaa kaanzia mbali sana sana sana !!! Hivi mnajua kuwa hata elimu hana?
Ngoja nikomee hapa maana nikitaka nielezee sitamaliza leo.
 
Nimepitia post zote
kuhusiana na huyu jamaa ila inavyoelekea wengi wenu hamfahamu undani wa
huyu jamaa. Nayajua maisha yake tangu miaka ya mwishoni mwa 198x mpaka
20xx mengi nimeyashuhudia live. Ndg zangu ni ushetani mtupu; ujambazi,
utapeli,mauaji, engagement in illegal businesses including drug deals
etc etc etc.
Msimuone hivyo jamaa ana roho mbaya sana ila ukimcheki machoni ni kama
mtu kumbe shetani.
Msione watu matajiri tu, huyu jamaa kaanzia mbali sana sana sana !!!
Hivi mnajua kuwa hata elimu hana?
Ngoja nikomee hapa maana nikitaka nielezee sitamaliza leo.

Hivi Umafia ni sifa? Anapenda sana kujiita mafia, sijui malengo yake ni kujilinganisha kiwango na mabosi wa Sicily?
 
Back
Top Bottom