Bifu la Shigongo, Ruge na Babu Tale

Bifu la Shigongo, Ruge na Babu Tale

Nifah, why are you so much interested in what Zamaradi was asked about? She's just a part of the story...
Mkuu...ktk kila story kila mmoja anakuwa na kipande 'kilichomkuna',mimi hapo kwa Zamaradi ndio penyewe...
Natamani kujua hapo tu,pengine kote wala hapajanivutia.
 
yes kaka kama kuna mtu mmbaya hapa na anayetumia tasnia kuharibu na kuwaharibia watu maisha ni ruge mtahaba uku yeye akijificha kama kobe asizani watanzania wanapendezwa na tabia zake anatumia vyombo vyake na vikundi vyake kufanya uchafuzi huo haya yanamwisho wake anapoteza umaarufu wa vipindi vyake ila kaka ushauri usikae kimya mno akuanzae mmalize nakumbuka hadithi za zamani
Umeona mbali,,ruge sio mtu mzur sana kiukwel kabsa,ila ni mtu anaejua kupanga maneno mazur na ya hekima kama makonda,,ukitaka makonda akumalize mpe nafas ajitetee,anakipaji sana cha maneno kama ruge,,hata wasanii ni mashahid wa hili ila ndio ile ile kua wakisema wanapigwa ban ya maisha pale.. Ni mtu ambae anakuteketeza huku anacheka,,ila mwenye haki kati yao ataibuka na tabasamu
 
Kwanin unasema siraha ya shigongo kwa ruge ni mimba ya zamaradi kwani kuna ubaya gan
Irudie tena hyi sentensi..nmemaliza kwa kusema japo sio mbaya kuzaa na boss wako.. Watu wanayajua ambayo huyajui ndugu ukadhan unayaishi peke yako..
 
Nikaikumbuka siku ambayo mtangazaji wa kipindi ambacho sikikumbuki hata jina cha Channel Ten alimweka msanii Dudubaya kwenye luninga kwa zaidi ya saa nzima akinitukana mimi kila aina ya matusi aliyoona yanafaa, kituo cha televisheni kiliamua kumpa Dudubaya muda wote huo kunitukana mimi bila kupewa nafasi ya kujieleza.

Baadaye nilikuja kugundua kwamba nyuma ya Dudubaya kunitukana kiasi hicho alikuwepo mtu mmoja aitwaye Ruge
Mmmmmhhh Dududbaya alikuwa Swahiba wa Ruge??
 
Back
Top Bottom