Bifu la Zari bossy lady, Anitha Fabiola lafika pabaya...

Zari you’re grown up woman,mambo ya kushindana na watu wa insta unakosea sana,wengi hawapendi kuona mtu yuko happy with her life,frustrated with their sad life wanatafuta next opportunity kutoa frustrations zao na wewe unawepa CHANCE ya kukuchezea kama mdoli ?
 
Nimeangalia ni kweli mara ya kwanza Zari alikuwa anaongea ongea lkn baadae Anita aliomba msamaha yakaisha na akamtangaza mshindi vzr na Zari akiwa anashangilia sidhani kwa upande wangu kama ilikuwa big issue
Utawaweza watu na mambo yao
 
Ndio ameolewa ivyoo..
 
Hehehehehhehaloooo lol

So this is what happened [emoji23][emoji23][emoji23], it’s like Zari and anitha had a long secretly beef, na pale Zari was bragging juu ya anita, she wanted to show her who she is na blah blah, si unajuaga bitches[emoji23], I conclude by saying Zari was a bit harsh , there was no need for all that cheap drama on the stage , anitha was humble and decent , but Zari tried to confront anitha na kumuonyesha madharau kuwa Anita is nothing and she rich an al that.
 
Tatizo ni diamond,alimla Anith akiwa kwenye mahusiano na Zari!
 
Fatilia kwa makini mkuu. Anita kila kipata chance redion anamtukana zari huko uganda

I’m loving the attitude , ***** huyo anitha anajifanya decent mbele za watu kumbe ni ka nyoka[emoji23], naona alipata chance jana akaona bora amalizane nae, by the way alivyom confront khaa kweli zari jeshi la mtu mmoja *****, anitha kanywea ahaha watu wanajifanya midomo wakiwa mbali ila karibu wanakuogopa mxiie


Yet Zari shouldn’t react that way , bora tu wangefanya back stage tusikie tu waligombana but sio vile in public , dah kaniangusha but I stil love her
 
Nakuunga mkono binamu yake tununu hahahah

Kuna ubuyu wa swahiliflix kubaguana. Hawa bongomovie sijui wana akili za wapi
 

Lulu na hamisa they are not in good terms we all know that , kama unakumbuka kwenye usku wa Tuzo za sinema zetu lulu alikua host , kuna mda ilibid ataje star ambaye atakuja mpa tuzo msanii, bahat nzuri au mbaya akamsoma hasimu wake hamisa mobeto, tena alim address vizur tu , mwanadada mrembo hamisa mobeto, hat alipotokea walipotezeana tu there was no drama kila mtu alifanya biashara zake wakaachana, but kila mtu was expecting something different but haikutokea

Huyo muandaaji wa miss Uganda she knows well Zari na anita they are not in good terms , probably she did invite two of them to participate on the event ili apate watu kutokana na ukwel kwamba we all know Zari ako na nyota buana
 
Kwa lulu na hamisa. Hamisa asingeweza kufurukuta pia kipindi hicho alikua anatembelea zaidi kiki ya domo,kumtibua lulu ni sawa na kumtibua majizo, angejuta

Anita alijiamini sababu kila akichungulia page zinazomchukia zari aliona atapata kiki na kumharibia zaidi kwa madili ya huko Uganda
 
Kwa kweli Zari was very disrespectful pale..
Open it
U supposed to be doing the admin work here chaaa🙌🏽🙌🏽🙌🏽
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…