Bifu la Zari bossy lady, Anitha Fabiola lafika pabaya...

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Ila usiku wa Jana tukinao ulijua kutia aibu kwa kweli, hata kama mlichukuliana mabwana, kumnyari dada wa watu na kumuangalia kama taka taka infront of such a huge crowd it’s so disgusting and embarrassing kwa kweli , yan ulijishushia heshima shoga angu, you looked so cheap and attention seeker. Yani mtu kukuita mamaa tu ndo kosa au ndo ulikua unamtafutia sababu mtoto wa watu mxiee.

Kampuni kubwa imekupa heshima kuwa judge and all what you did is kuharibu shughuli ya watu, si mngesubir shuguhul iishe mkaendelea na upuuzi wenu mxiie .

Tukirudi kwa anitha, haka kadada kazur jaman , kalidamshi, na kanaonekana na kenyewe Maisha yake si haba kwa kweli , pesa zipo , ngoja niingie mzigon nitafute file lake tumjue vzur

i
IMG_1909.JPG
IMG_1910.JPG
 
Mbona kama umechukua upande kabisa hebu twambie nini kilitokea na nani alifanya nini na ilikuaje aliyefanya nini hadi akafanya nini? na ilikuwaje alifanya nini aonekane ndio kafanya nini kuliko aliyefanya nae......
Weka hata kavideo tuone kama ulicho andika kinaendana na yaliyotokea.....Weka data na ushahidi ndugu Warumi .....umechukua upande mapema kabla ya kutuelezea story nzima bila kumpendelea mtu....
Tafadhali mwaga data na ushahidi...
 
Sijui yaliyotokea kati Yao , sijui wana matatizo gani ila kitendo cha Zari kujaribu kum attack anitha ndicho kilichoonekana in public of which is not good kama wana mambo Yao huko nyuma they should try to solve them privately , for what I saw ata kama Zari alikosewa kwa alichokifanya in public obvious yeye ndo ataonekana mbaya, you don’t do that kwenye event kubwa kama ile especially ukiwa invited as a judge, you don’t misbehave like what Zari did, it’s a big no, hakuna cha maelezo binamu , Zari wasn’t fair and matured on yesterday’s issue , period
 
Nimeangalia ni kweli mara ya kwanza Zari alikuwa anaongea ongea lkn baadae Anita aliomba msamaha yakaisha na akamtangaza mshindi vzr na Zari akiwa anashangilia sidhani kwa upande wangu kama ilikuwa big issue
 
Mkuu mbona una jichanganya? kama ujui kilichotokea kwanini una hukumu? kwani kilitokea nini hadi akaonekana kam attack public? kilitokea nini? hebu tafuta hata kavideo tuone jinsi alivyo kosea.....hadi sasa bado sijakuelewa kabisa maana hakuna sehemu umeonesha jinsi alivyo kosea.....
 
Nimeangalia ni kweli mara ya kwanza Zari alikuwa anaongea ongea lkn baadae Anita aliomba msamaha yakaisha na akamtangaza mshindi vzr na Zari akiwa anashangilia sidhani kwa upande wangu kama ilikuwa big issue
Nyie wanawake hamnaga small issue,huwezi jua nyuma ya pazia.
 
Ila usiku wa Jana tukinao ulijua kutia aibu kwa kweli, hata kama mlichukuliana mabwana, kumnyari dada wa watu na kumuangalia kama taka taka infront of such a huge crowd it’s so disgusting and embarrassing kwa kweli , yan ulijishushia heshima shoga angu, you looked so cheap and attention seeker. Yani mtu kukuita mamaa tu ndo kosa au ndo ulikua unamtafutia sababu mtoto wa watu mxiee.

Kampuni kubwa imekupa heshima kuwa judge and all what you did is kuharibu shughuli ya watu, si mngesubir shuguhul iishe mkaendelea na upuuzi wenu mxiie .

Tukirudi kwa anitha, haka kadada kazur jaman , kalidamshi, na kanaonekana na kenyewe Maisha yake si haba kwa kweli , pesa zipo , ngoja niingie mzigon nitafute file lake tumjue vzur

iView attachment 1164249View attachment 1164251
Kiukwel huyu zari anatabia zakipuuzi lengo lake ilikuwa kutafauta Kiki kupitia Hilo shindano ndo maana alitoa lugha za kujitapa Mara aseme ana hela nyingi Mara atoe lugha za dharau kwa huyo host kiufup aliaribu Hilo shindano sinzani Kama atapata nafasi kubwa tena Kama ile.Huyu mwanamke hafai kuwa wife material kabisa anaonekana ni mtu mwenye jeuri kujiona hiv kwa mfano angekuwa level ya Beyonce hiv ingekuwaje?Mara ya kwanza nilizani mtu wa maana kumbe ni walewale km dada zetu wa hapa bongo.
 
Nimeangalia ni kweli mara ya kwanza Zari alikuwa anaongea ongea lkn baadae Anita aliomba msamaha yakaisha na akamtangaza mshindi vzr na Zari akiwa anashangilia sidhani kwa upande wangu kama ilikuwa big issue
huna kavideo tuone alivyo kuwa anongea? nani alikosea na kwanini Anitha aliomba radhi ikiwa watanzania wote wanasema Zari ndio alikosea?
 
Kiukwel huyu zari anatabia zakipuuzi lengo lake ilikuwa kutafauta Kiki kupitia Hilo shindano ndo maana alitoa lugha za kujitapa Mara aseme ana hela nyingi Mara atoe lugha za dharau kwa huyo host kiufup aliaribu Hilo shindano sinzani Kama atapata nafasi kubwa tena Kama ile.Huyu mwanamke hafai kuwa wife material kabisa anaonekana ni mtu mwenye jeuri kujiona hiv kwa mfano angekuwa level ya Beyonce hiv ingekuwaje?Mara ya kwanza nilizani mtu wa maana kumbe ni walewale km dada zetu wa hapa bongo.
Mkuu umeandika maneno mengi lakini hujaonesha kosa lake labda utuwekee video tuweze jinsi alivyo fanya makosa
 
Bora fabiola mic yake ilichukuliwa

Angeweza kwenda kumuambia sikioni.. ila nae alipandwa sijui kupata kiki..

Eeeeh kituko.. lazima waeleze kilichojiri
 
Kiukwel huyu zari anatabia zakipuuzi lengo lake ilikuwa kutafauta Kiki kupitia Hilo shindano ndo maana alitoa lugha za kujitapa Mara aseme ana hela nyingi Mara atoe lugha za dharau kwa huyo host kiufup aliaribu Hilo shindano sinzani Kama atapata nafasi kubwa tena Kama ile.Huyu mwanamke hafai kuwa wife material kabisa anaonekana ni mtu mwenye jeuri kujiona hiv kwa mfano angekuwa level ya Beyonce hiv ingekuwaje?Mara ya kwanza nilizani mtu wa maana kumbe ni walewale km dada zetu wa hapa bongo.

Wewe naye una chuki zako kwake.. kaa uongelee hao na tukio. Kwani ni uongo hana aliyoyasema!!.
 
Back
Top Bottom