Bifu lapamba moto on fire Diamond asema kama anazo na azitoe

People are so stupid bitcjes can say anything about this man because of his past....but could be
just looking for a pay day!
 
Tatizo la wasanii wetu wengi wanaishi maisha ya video...wachache wako real wengi feki.
Hizi ndiyo athari za mtanzania kuishi maisha ya mmarekani
 
Acha kukuza issue, anamjibu aliyemsema humo. Hamjui kuna watu wanatukana na kumpandia mtu hadi lazima yeye ameshindwa kuvumilia.

Naye ni binadamu, acha awajibu lolote

Gwajima kanisa lake lichunguzwe kiundani, ni la nini haswa. Hawamwabudu Mola bali udaku tu kupaisha biashara hiyo.
 
gwajima mtu wa hovyooo sana japo anasaidia kufichua baadhi ya maovu,ila hata kichaa anamsaada ktk jamii,mfano kuokota uchafu etc.mtu aliomba msamaha but still unamchokonoa tu,tena ngoja usifikiri kukaa kimya kwa vyombo vya dola usifkr ww ni champion,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…