Bifu lapamba moto on fire Diamond asema kama anazo na azitoe

Hatuzungumzii hiyo Chrisplatnumz, sisi tunaangalia hiyo Comment ya diamondpkatnumz alomjibu uwezohusein... Alafu mpuuzi mwenyewe
Duuuh Siku hizi Diamond anapata na muda wa kupitia comments na kuzijibu kabisa. Ina maana u busy umepungua sana
 
Duuuh Siku hizi Diamond anapata na muda wa kupitia comments na kuzijibu kabisa. Ina maana u busy umepungua sana
Mbona hata wasanii wa majuu wanajibu comment? Na nilishawahi kujibiwa commet mara kadhaa na wasanii wakubwa kabisa wa Marekani,
so ni kitu cha kawaida,
huenda aliona notification so alipofungua akakuta mtu amemu-atack na akaamua kujibu( hakuna cha ajabu hapo)
usidhani mondi akitukanwa haoni eti kwakua yuko busy, angekuwa haoni asingesema
''wale shabiki zangu walonisifu kwa maneno matamu, leo maadui zangu ni mitusi tu kwa instagramu''
 
It is okay

Achana na wasanii wa nje. ila hapa tunamuongelea diamond
 
Gwajima ni mropokwaji tu! Hana cha ziada, atasikiluzwa na hiyo misukule yake tu.
Wewe ni zaidi ya mropokaji nadhani wewe ni

Subirini muda ufike sasa kama ni mropokaji tungeshajua kitambo maana anaowasema hawaendi mahakamani
 
Unaposema huenda aliona , hapo unaongea kitu ambacho ni probability so huna uhakika nacho. Nakubaliana na wewe kwamba comments anazijua na si lazima aone yeye kama yeye but ana watu wengi wa karibu wanaomzunguka wanaoweza kumpa updates za kinachoendelea mtandaoni.
 
Wewe ni zaidi ya mropokaji nadhani wewe ni

Subirini muda ufike sasa kama ni mropokaji tungeshajua kitambo maana anaowasema hawaendi mahakamani
Sasa ukushamjuwa huyu ni mropokaji kwanini ujisumbue! Huyo ni mjanja fulani tu, hata dini hana wajinga tu ndio humuamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…