Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,120
- 24,667
Ila mchezo wa bashite ni wa kishetani na atazimika kama mshumaa!Sio anatafuta bali anajisimamia, gwajima anamchezo mbaya na sio mzuri kabisaaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila mchezo wa bashite ni wa kishetani na atazimika kama mshumaa!Sio anatafuta bali anajisimamia, gwajima anamchezo mbaya na sio mzuri kabisaaa.
hapana ni gwajima ndio anatafuta kiji kupitia diamond mfano mzuri ni jana kanisani sadaka ziliongezeka.Huyu diamond anatafuta kiki kupitia gwajima?
Mnaogopa Gwajima asije Toa video ya mtoa kafaraWacheni kukurupukia ujinga
hii si Acc ya Diamond
Mbona wazushi nyie!!
Mtawashika wapuuzi
Duuuh Siku hizi Diamond anapata na muda wa kupitia comments na kuzijibu kabisa. Ina maana u busy umepungua sanaHatuzungumzii hiyo Chrisplatnumz, sisi tunaangalia hiyo Comment ya diamondpkatnumz alomjibu uwezohusein... Alafu mpuuzi mwenyewe
Account fake hiyoHuyu kuhani kapatikana.. aspozitoa ataonekana ana tunga ili apate watu kwake wamwongezee sadaka tu atakua hana maana tena
Angalia vizuri hiyo comment ya diamond alipomjibu Uwezohuseinsio account ya diamond hyo
Ni nani ambaye alimuanza mwenzie? Gwajima alishawahi mtaja huyu msanii kwenye mahubiri yake kabla ya hili tukio?hapana ni gwajima ndio anatafuta kiji kupitia diamond mfano mzuri ni jana kanisani sadaka ziliongezeka.
Gwajima ni mropokwaji tu! Hana cha ziada, atasikiluzwa na hiyo misukule yake tu.Gwajima haropoki jamani
Mbona hata wasanii wa majuu wanajibu comment? Na nilishawahi kujibiwa commet mara kadhaa na wasanii wakubwa kabisa wa Marekani,Duuuh Siku hizi Diamond anapata na muda wa kupitia comments na kuzijibu kabisa. Ina maana u busy umepungua sana
Na ndio amepatikana!Huyu kuhani kapatikana.. aspozitoa ataonekana ana tunga ili apate watu kwake wamwongezee sadaka tu atakua hana maana tena
It is okayMbona hata wasanii wa majuu wanajibu comment? Na nilishawahi kujibiwa commet mara kadhaa na wasanii wakubwa kabisa wa Marekani,
so ni kitu cha kawaida,
huenda aliona notification so alipofungua akakuta mtu amemu-atack na akaamua kujibu( hakuna cha ajabu hapo)
usidhani mondi akitukanwa haoni eti kwakua yuko busy, angekuwa haoni asingesema
''wale shabiki zangu walonisifu kwa maneno matamu, leo maadui zangu ni mitusi tu kwa instagramu''
Wewe ni zaidi ya mropokaji nadhani wewe niGwajima ni mropokwaji tu! Hana cha ziada, atasikiluzwa na hiyo misukule yake tu.
Unaposema huenda aliona , hapo unaongea kitu ambacho ni probability so huna uhakika nacho. Nakubaliana na wewe kwamba comments anazijua na si lazima aone yeye kama yeye but ana watu wengi wa karibu wanaomzunguka wanaoweza kumpa updates za kinachoendelea mtandaoni.Mbona hata wasanii wa majuu wanajibu comment? Na nilishawahi kujibiwa commet mara kadhaa na wasanii wakubwa kabisa wa Marekani,
so ni kitu cha kawaida,
huenda aliona notification so alipofungua akakuta mtu amemu-atack na akaamua kujibu( hakuna cha ajabu hapo)
usidhani mondi akitukanwa haoni eti kwakua yuko busy, angekuwa haoni asingesema
''wale shabiki zangu walonisifu kwa maneno matamu, leo maadui zangu ni mitusi tu kwa instagramu''
Sasa ukushamjuwa huyu ni mropokaji kwanini ujisumbue! Huyo ni mjanja fulani tu, hata dini hana wajinga tu ndio humuamini.Wewe ni zaidi ya mropokaji nadhani wewe ni
Subirini muda ufike sasa kama ni mropokaji tungeshajua kitambo maana anaowasema hawaendi mahakamani
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12][emoji3] [emoji3] [emoji3]
Follow diamond replies ujue huwa anajib ama veeepIt is okay
Achana na wasanii wa nje. ila hapa tunamuongelea diamond
mimi ni fan wake mzuri tuFollow diamond replies ujue huwa anajib ama veeep
Umeelewa account nilokwambia uifollow?mimi ni fan wake mzuri tu
nimemfollow na huwa na comment post zake