Bifu linaloendelea kati ya TCU na vyuo vya private

We kijana tarifa yako ina walakini kila chuo kinapewa kulingana na slots ambazo kiliombaaa bhna.....unachosema chuo gani cha private kimepewa wanafunzi kiduchu tofauti na kilivyo ombaa? Halafu kitu kingne vyuo vya prvte vng havifahamiki na watu wanashindwa kutuma maombiiii kijana usipende kuokota mambo
 
Vyuo vya Private ni aina ya IMTU.... Akili za Waalimu na Wanafunzi Wao Zinafana....
 
Ada za private ni kubwa mno hata Heslb wakkupa 100% utatakiwa kuongeza kiac kingne hyo nayo ni sababu inayofanya watu wengi wasiombe private.

Bora umesema na wewe ndugu just imagine kampala international University MD yao ni 6 million
Hapo kweli mtu wa kawaida atathubutu kwenda
 
Ada za private ni kubwa mno hata Heslb wakkupa 100% utatakiwa kuongeza kiac kingne hyo nayo ni sababu inayofanya watu wengi wasiombe private.

wewe ndio umesema sababu ya maana. Mtoto wa mkulima amesoma kwa bidii ili aweze kushinda competetion ya kuchaguliwa ktk kozi na chuo fulani, kutokana na hali halisi ya maisha ya kwao, alafu apelekwe kungineko kwenye majanga.
Wakitaka (vyuo vya private) wapewe wanafunzi wengi na wenye uwezo, basi washushe ada zao na kuvitangaza vuo vyao. Vinginevyo wataendelea kupata wanafunzi walioachwa na vyuo makini, tena wengi wa wanafunzi hao wakiwa ni wenye pointi kiduchu na ni second section!
 
Hakuna anaependa kusoma vyuo vya private

kipindi najifunza mathematics, nilijifunza alternative ways. Lakini nilipokua nikijibu mtihani nilitumia njia moja ambayo ilikua hainipi tabu.
Hapa vyuo ndio alternatives. Mwanafunzi mwenye akili tamamu hawezi kuchagua chuo ambacho kina gharama kubwa. Unakuta ili mtu aweze kusajiliwa kwenye chuo fulani, ni lazima awe na angalau 1m.
Hakuna anayependa kusoma private. Ni kukosa nafasi au kua na ufaulu mdogo, ndio husababisha mtu kuamua kuomba private!
 
Hapo umenena,ila kuna vichwa maji humu wanajifanya wanajua sana kuongea,hakuna anaependa kulipa ada 2.7M kama st joseph au 3M university of bagamoyo,hawana hata huruma,hata kama hawapewi ruzuku lakin sio kuweka ada kubwa hvy
 
Sasa jamani hebu naomba tuwe fair, hivi kweli kuna kijana aliyetimamu ambaye yupo tayari kusoma vyuo mbuzi wakuu? Dah eti mfano mi niende Mtwara university jamani si ntazimia jaman, E mola tusaidie kwakweli.

ww pure si ulisema umechaguliwa kile chuo cha kanisa tabora? hahahahaha
 
Ohoooo Pure. HSM ni mswahili sana huyu jamaa hahaha mara mtwara university mara tabora hahah
 
Hapo umenena,ila kuna vichwa maji humu wanajifanya wanajua sana kuongea,hakuna anaependa kulipa ada 2.7M kama st joseph au 3M university of bagamoyo,hawana hata huruma,hata kama hawapewi ruzuku lakin sio kuweka ada kubwa hvy

waache warukuruke, ila ukweli wanaujua!
 
Sio kwel vyuo vya afya kama bachelor of pharmacy kuna chuo muhimbili tu kinatoa course hyo ya bachelor na kina chukua wanagunzi 40 tu sasa unanambia kama hakuna vyuo vya private watu watasoma wap wote hao....tafakar
 
Ndio wajitahidi wafaulu ili wawe miongoni mwa hao 40,
 
Sio kwel vyuo vya afya kama bachelor of pharmacy kuna chuo muhimbili tu kinatoa course hyo ya bachelor na kina chukua wanagunzi 40 tu sasa unanambia kama hakuna vyuo vya private watu watasoma wap wote hao....tafakar

hao walikosa nafasi ya kusoma muhimbili (penye ada kiduchu) ndio wanaopaswa kuchaguliwa vyuo vya private ( ada mzigo). Sijawahi kuona au kusikia kua, mwanafunzi aliyefanya vizuri sana ktk PCB yake na mwenye ndoto ya kua daktari au phamansia, alafu akaacha kuweka Muhimbili kawa chaguo lake la kwanza.
 
hao 10 kati 50 waliofaulu, ambao pointi zao ni za chini kuliko wenzao, ndio waopaswa kujiunga na vyuo vya kulipia 6M.

Na elim itolewayo kat ya ivyo vyuo kunautofaut gan ad wengine watozwa 6M
 
Sio kwel vyuo vya afya kama bachelor of pharmacy kuna chuo muhimbili tu kinatoa course hyo ya bachelor na kina chukua wanagunzi 40 tu sasa unanambia kama hakuna vyuo vya private watu watasoma wap wote hao....tafakar

Sio kweli kuwa Bpharm iko MuHAS peke yake labda unazungumzia miaka 5 nyuma kwa sasa kuna St. John , bugando
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…