Ndio wafaulu kwanza,sio tunaongea kwa nadharia,
Chakufanya wafanye kama walivyo sema nafasi ziongezwe vijana wengi tu wamefauru
kaka inabidi uelewe kuwa hivyo vyuo vikuu vyote hapa TZ vipo chini ya TCU, na vimekidhi vigezo kwa kutoa elimu ya juu. lakin pia vyuo binafsi havipati ruzuku kama hivyo vya umma, so kwa wao kupewa wanafunzi wachache, ni kuviua automatically maana vitashindwa kujiendesha
Na elim itolewayo kat ya ivyo vyuo kunautofaut gan ad wengine watozwa 6M
sasa unashauri vipewe ruzuku???vyuo binafs bhana ada zao ni za kufuru na ado kuna changamoto ya wahadhiri,wengi wanatumia wahadhiri wa kukodi,akibanwa UDSM au SUA au MZUMBE,huko anakokodishwa haend,lakin pia kwenye soko la ajira pia tatizo,hata kupata skolashipu za nje,angalia data base nyingi za vyuo vya nje wanavitambua sana vyuo vya serikali,hata mwajiri unaweza ukakuta anakushangaa anakuuliza labda let say RUCO ndo chuo gani???,
serikali inahofia gharama,na kwa sasa ifike mahali ada zisimamiwe na chombo maalum kama ilivyo mafuta kwa EWURA nauli kwa SUMATRA,vyuo vingi vya umma vina rasilimali za kutosha,ukienda udsm undergraduate wa mwaka wa kwanza anafundishwa na Dr. Au Profesa mwenye uzoefu tu,kuna vyuo Dr au Prof unakutanana nae semista ya mwisho ya masomo yako,sasa kimbembe kinakuja wakat unasaka skolaship ya kwenda kusoma nje ya nchi,recommendation letter yenye uzito ni ile iandikwayo na Prof au Dr. Na si Mr au Ms
Mkuu sidhani kama ni kweli wananyimwa wanafunzi,kama ni hivo basi ina mana wanafunzi wote walioomba wamepata vyuo.Mimi nafikiri vyuo binafsi ziwe na ubunifu na kozi adimu na zenye soko.
Pili kuna umuhimu wa TCU kugawa wanafunzi wenye ufaulu wa juu katika kila chuo,hii itaongeza ushindani vyuoni
nadhani wale slow leaners wameelewa japo kidogo. Ila kwa wenye uwezo mkubwa, watakua wameweza kutofautisha kati ya beaker na jug!
mfumo wa TCU ni kama ambavyo kuna UCAS United Kingdom hizi Taasisi zipo pale kuhakikisha zinamsaidia mwanafunzi kupata Chuo anachokitaka na kinachomfaa na sio kuhakikisha kila chuo kinapata mwanafunzi
Hivyo basi inabidi TCU wajipange na kutoa prospectus na information za kila chuo na entry requirements zake mfano kwa UK kila mtu angependa kwenda Oxford na Cambridge lakini bila AAA au sometimes ABB huwezi kupata nafasi au vyuo ambazo vinasifika kwa Course fulani hence ushindani hivyo basi na maksi za kuingia zinakuwa kubwa. Kwahio TCU watengeneze prospectus na kuzisambaza kwenye mashule na libraries ili wanafunzi waweze kufanya proper choice kulingana na course na ufaulu wao pia kwenye website yao iwe mtu akichagua Course anayotaka vinatokea vyuo vya kuchagua accordingly na ufaulu wake
Acha mbwembwe dogo si umesema wewe unaenda udom kusomea urubani kati ya moja ya post zako umu jf :what::what::what:...... anyway nenda uko mtwara wakakufunze maisha dodoma hatuiitaji watu kama nyie
Tatizo la wanafunzi kuwa wazembe na kutotafuta taarifa haipunguzi kwa TCU kutokufanya kazi ya kutoa taarifa readily available, kumbuka huenda kuna wengine labda ni raia wa nchi nyingine na wanataka kuja kusoma huku.., au kuna course fulani inapatikana sehemu fulani ila mtu hajui hence kukosa fursa..sawa kabisa mdau,lakin huwa kuna maonesho ya vyuo vikuu hapo Diamond Jubilee, Dsm vijana huwa wanakwenda kupata taarifa?huwa yanafanyika kila mwaka?pia kwenye maonesho ya 77 na 88 huwa kuna mabanda ya vyuo je wahusika hutembelea?,kingine kwenye website za vyuo huwa wanapitia?unajua kuna tatizo la kusaka taarifa,mi mara kadhaa huwa yayanitokea,unampa mtu taarifa unampa na source ili azifanyie kazi,let say unamwambia KUNA NAFAS ZA MASOMO CHUO FULANI NA WEBSITE YAO HII,AISEE USISHANGAE AKAKWAMBIA UMPRINTIEA NA UIJAZE NA UMTUMIEA,kwangu mimi kwa level za kuanzia advance kijana lazima awe msakaj wa taarifa,jambo jingine ni kwamba hatupend tu kuuliza,na hapa namaanisha walengwa,vijana wapo dsm ila TCU hatak kwenda anaishia kuulizia washkaj,bod ya mikopo haend,
hapa kuna tatizo,nawashaur waday tuwakazanie wadogo zetu wawe wasaka info,kuna watu wanaenda vyuo hata email hana,je madesa atayapataje???
Ada za private ni kubwa mno hata Heslb wakkupa 100% utatakiwa kuongeza kiac kingne hyo nayo ni sababu inayofanya watu wengi wasiombe private.
ukisema 100% ya ada maana yake ni ada yote unalipiwa. hiyo yakuongeza ni kwa vyuo vyote haijalishi ni vya umma au binafsi na lazima uongezee ili kucover michango mbalimbali nje ya ada
afu kitu kingine mkuu vyuo vya umma vimejaziwa watu kutokana na uhitaji wake. angalia na ulinganishe course zinazotolewa udom mzumbe udsm muhimbili ni nyingi sana huenda hata ikawa mara mbili au tatu ya cozi zinazotolewa na vyuo binafsiWana JF
kuna bifu ilitokea kwenye mkutano kati ya TCU na Vyuo vya binafsi kwenye mkutano uliandaliwa na TCU tarehe 22/09/2014 kwaajili ya kupitisha majina ya wanafunzi waliodahiliwa kwa mwaka wa masomo 2014/2015, sababu kubwa ya kutokea kutokuelewana huko ni kwamba vyuo vya umma kama UDSM, UDOM,MZUMBE etc ilionekana vimejaziwa wanafunzi ili hali vyuo vya binafsi vikipewa wanafunzi kiduchu, sasa vyuo binafsi vilihoji utendaji kazi wa CAS? lkn pia ishu nyingine ilionekana kuwa huu mfumo wa CAS umeanzishwa ili kupiga zile 50,000/=. ili hali selection zote zinafanyika Manually.
swali la kujiuliza hapa je huo mfumo wa CAS unatenda haki kama ulivyopigiwa chapuo wakati unaanzishwa? je siasa nako huku zimeingia?
nani kakwambia hiyo? rudi kwenye guidebook ukasome
Nataka kuapply Bacheler degree ila inaonekana wameshafunga application je naweza kupata ?