Bifu linaloendelea kati ya TCU na vyuo vya private


Ni ukweli lkn wahitimu wengi wanapenda kwenda vyuo vya serikali kwa sababu ya Gharama.Kwa mfano UDSM direct cost ni 77400 na kama una bima ya afya basi direct cost ni 27000 tuition fee pia ni ndogo hata mtu ukipata mkopo % ndogo unaweza mudu.Kwa mantiki hiyo Vyuo vya serikali waombaji wengi huviweka kwenye option za kwanza na private ni mwisho.Sidhani kama kuna mwanachuo ataweka ya kwanza katika chuo ambacho ada ni ndefu au usajili ni ghari.Angalia private ambao nao gharama sio kubwa sana utakuta navyo vinakimbiliwa.
 
St Augustine nadhani nao wanapata watu wengi tuition fee sio kubwa ila nadhani usajili unaweza ukawa upo juu kidogo
 
Minimum entry ya 2.5,,, ni hatari

Kwa mtu mwenye uelewa hawezi kutoa comment kama hii, Mtu anaweza akafeli mtihani kutokana na mood iliyomkuta siku anafanya mtihani, huwezi kumuhukumu kuwa sio mwanafunzi asiyefundishika, wako watu wanatoka A level na points kubwa kubwa na bado hawafanyi vizuri kwenye vyuo vikuu, Kinachotakiwa ni mtu kuwa na uwezo wa kufundishika. Hata kama 2.5 Kwako inaonekana kuwa ni kidogo bado katika level ya kimataifa ni qualification inayokubalika, Lakini usisahau kuwa kila chuo kila kozi ina points zake, pamoja na TCU kuweka 2.5 lakini bado points za chuo ndizo zinazosimama.
 
tufanyee yameisha basi ,uko juu kama mzee yusuph
 

Mkuu mm nafkri n ada ndio inawakimbiza wanafunz weng na sio kingine ,kuna vyuo vya private viko vizuri sana e.g bugando na kcmc upande wa udaktari na phamasia
Tatizo ada na kuhusu ufaulu kuna wanafunz wanapata ufaulu mzuri na wanaenda private e.g Masanja PCB 2009/2010 tabora boyz ali score 1.3 PCB na alienda bugando kupiga MD
 
hapo sawa ila huwezi kwenda udsm na div 3 wakati watu wana div 2 na wanaachwa kutokana na ushindani,muda mwngne ni uelewa mdgoo wa wanafunzi na kutopenda kujihusisha na watu mbalimbali ktkkuombaa ushauri hiloo ndoo tatzo sasa

Inategemea umeomba course gani na ushindani katika hiyo course pia ufaulu wa mwaka huo.....
 
Sasa jamani hebu naomba tuwe fair, hivi kweli kuna kijana aliyetimamu ambaye yupo tayari kusoma vyuo mbuzi wakuu? Dah eti mfano mi niende Mtwara university jamani si ntazimia jaman, E mola tusaidie kwakweli.

Wewe ni mpuuzi kama wajinga wengine.Nikimaanisha mjinga ni mtu ambaye hajui kitu kama wewe!Kuna chuo mbuzi hapa nchini?kilipataje usajili? Wanafundisha pale wameishia std 7 au? Ivi aliyesomea ualimu mtwara na aliyesomea Harvard university watalipwa mishahara tofaut?Toa upuuzi wako hapa.
 

nakubaliana na wewe kua wapo wanaoenda private na wana uwezo mzuri. hata wewe unakubali kua private kuna ada kubwa. unadhana wtoto wa mkulima aliyepata one kali, ataomba chuo chenye ada kubwa wakati kipo chenye ada ndogo?
tatizo watu wanalalamikia cas bila kuangalia chanzo cha tatizo!
 

Huo ndio ukweli hii n tofaut pia kati ya o level na advance ambapo wazee wenye uwezo hupeleka watoto wao shule binafsi lakini chuo n tofauti hata hao wenye uwezo hung'ang'ania serikalini coz vyuo vyake vina facility na walimu bora

Kama private wakikubaliana na CAS +TCU kuregulate ada zao ili ziwe affordable kama serikalin naamn itachangia kupata wanafunz wengi
 

tehe tehe.. jaman aliyesema vyuo mbuz yy anasomea wap tumuulize
 

kweli kabisa!
 
tehe tehe.. jaman aliyesema vyuo mbuz yy anasomea wap tumuulize

Labda yuko UDSM ambacho kina usajili wa kimataifa tofauti na TCU. Me nilisoma chuo cha public lakin waliosoma private wote tuko kazini sawa na salary scale ni Moja.Mbulula utamjua tu kwa comments wake.Mbona yeye kasoma shule ya kata hatumsemi japo nazo zina kasoro nying tu.Huyu jamaa kanitia hasira sana, na waliochaguliwa mtwara wafanyeje?wasiende waahirishe au vp?
 
kwa mtazamo wangu watu wanafuata pia unafuu wa ada ukzngatia familia nyng hal ni duni.......so kungekuwa na ada sawa kote zen tungeona
 
Hawa TCU wanabore sna-yaani megeuza elimu ya Bongo kama secondary (wanakuchagua kama ndio umefaulu darasa la 7 kwenda kidato cha 1). Wameacha majukumu yao ya msingi ya kusimamia ubora wa elimu Tz kama uanzishwaji wa vyuo vingi holela na Wadhiri feki na wasio na sifa vyuoni-MACHO YAO YOTE YAKO KWENYE APPLICATION FEEE. (Kuna vyuo vya mapishi, Tourism &Hospitality, NURSING, TEACHEARS COLLEGE, nk, VINGI FAKE ILA WAO WAMELALA TU-MACHO KWENYE KUPIGA HELA TU).

Wameua USHINDANI MIONGONI MWA VYUO-No one can invest where customers are guaranteed despite the Investment you make!!! Yaani wegeuka wanasiasa (wanapanga wanachuo wengi-vyuo vya serikali ili kua vyuo vya private na kiingereza chao kibovu cha Public Univ to mean Gvt Institutions, mara businessmen/women-ku apply Tshs 50,000; kuomba kuamishwa chuo Tshs 30,000 na kuna Tshs 20,000 tena cjui ya madudu gani? Afu chuo kureview programs zao for better performance na kumatch na market (employer) demands wanahitaji kama 10M au % watakao amua wao.

TUNAOMBA WANAFUNZI WARUHUSIWE KUOMBA VYUO WAVIPENDAVYO WAO, THEN VYUO VITA FORWARD MAJINA KWENU KUHAKIKI SIFA ZAO. CUT POINT NI KIGEZO TOSHA.

JK TEUA PROFESSIONALS TO LEAD PROFESSIONAL BODIES AND NOT POLITICIANS TO LEAD PROFESSIONAL MODIES. MTAUA ELIMU YA TANZANIA KWA TAMAA NA UJINGA WENU.
 
TCU wanalaumiwa bure. ukiangalia candidates wengi waliofaulu vizuri hutoa kipaumbele kwa Public Universities - kwanza kutokana na unafuu wa gharama na pili Public Universities zina majina na zimekuwepo kitambo. Vyuo vingi Private ni vipya na sifa zake hazijaenea sana.

kama public Universities zinaweza ku absorb candidates almost all lazima private wapate masalia. Nimefaulu vizuri usinitegemee niache kujaza MUHAS kwa mfano nijaze IMMTU.
 
Acha kuharisha broo! Huyu madam wangu kachukua masters ud huku akitoka na gpa ya 3.4 undergraduate ya B Sc maths & stacs! Afu unaongea porojo!! Bachelor alichukulia Mwenge Cathalic University!!
 
Aher vife kuliko kutoa wahitim wasio na sifa. Kama hicho cha mwanza hakuna kufeli???????!?!?

Tatizo kijana unasikiliza story za vijiwe vya kahawa na hujazifanyia utafiti na unakurupuka kuziropoka tu Usihishi kwa historia wewe fanya utafiti kabla ya kuropoka. Mambo hubadilika
 
Mi cana LA kusema bwana mmmh matusi mengi mno elimu ppte mazee
Nawakilisha Vinegar Wanaharakati m4c
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…