Hiyo siifahamuSunny deol kabangi in "Mac dj"voice ila ile picha ilikuwa Kali sana na Kuna picha Moja sunny deol anawekwa kwenye chupa anakuwa kama nyoka anayeikumbuka jina lake please!!!
Aseeh nmekumbuka mbali sana enzi 2010/11/12/13 wakati npo Kahama nlkuwa nawaangalia sana hawa wahindi
Miaka ya juz!? Wakat huo nlkuwa drs la 5 /6 hvDuh sasa hiyo si miaka ya juzi tu
Dah sijategemea swali kama hili kutoka kwako.Hivi Bob deol ana movie kali zaidi ya soldier?
Nimeikumbuka movie ya baba yao ya Loha
Si unaona hapo kuna sunny deol na dharmendra? Nitajie ya kwake kama ilivyokua soldierDah sijategemea swali kama hili kutoka kwako.
Ila yote kwa yote bob ana filamu nyingi sana kali.
Embu nenda katizame filamu inaitwa Apne (Wangu) amecheza bob deol, sunny deol na dharmendra.
Kumbe we kijana mdogo sana yani miaka ya 2010, wakati Mimi nazikumbuka izi muvi miaka ya 99, 2003Aseeh nmekumbuka mbali sana enzi 2010/11/12/13 wakati npo Kahama nlkuwa nawaangalia sana hawa wahindi
NaajimSunny deol kabangi in "Mac dj"voice ila ile picha ilikuwa Kali sana na Kuna picha Moja sunny deol anawekwa kwenye chupa anakuwa kama nyoka anayeikumbuka jina lake please!!!
Nenda kaangalie bichoo kisha ulete mrejeshoSi unaona hapo kuna sunny deol na dharmendra? Nitajie ya kwake kama ilivyokua soldier
zipo nyingi ila hazifiki kiwango cha soldierHivi Bob deol ana movie kali zaidi ya soldier?
Nimeikumbuka movie ya baba yao ya Loha
Hivi Bob deol ana movie kali zaidi ya soldier?
Nimeikumbuka movie ya baba yao ya Loha
duh!Miaka ya juz!? Wakat huo nlkuwa drs la 5 /6 hv