Afande sele ameingia kwenye bifu nzito na chid benz baada ya afande kusema dito alitoka watu pori(man united) akaenda La familia(bolton) akimaaniisha dito alitoka man united timu kubwa akaenda bolton la familia timu ndogo,CHID AMEJIBU MAPIGO KWENYE UPANDE WAKE WA TWITER KWA MANENO MAKALI AMBAYO SI BUSARA KUYAWEKA HAPA, huku akisema yeye yuko ilala kama anamtafuta