Bifu nzito Afande Sele v/s Chid Benz

Bifu nzito Afande Sele v/s Chid Benz

Fraddle b

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2011
Posts
222
Reaction score
20
Afande sele ameingia kwenye bifu nzito na chid benz baada ya afande kusema dito alitoka watu pori(man united) akaenda La familia(bolton) akimaaniisha dito alitoka man united timu kubwa akaenda bolton la familia timu ndogo,CHID AMEJIBU MAPIGO KWENYE UPANDE WAKE WA TWITER KWA MANENO MAKALI AMBAYO SI BUSARA KUYAWEKA HAPA, huku akisema yeye yuko ilala kama anamtafuta
 
nimeichek hiyo chanel gwala,anasema angalau sahv yupo Liverpool(tht) yuko level moja na manchester utd.Eti anajivunia backup kubwa aliyonayo mwenge jwtz so chid hamtishi kwa lolote,kaz kwao ngoja tuone final nani ataibuka kidedea
 
Chid benz acha vurugu afande sele ameongea ukweli la familia upo wewe tu hakuna mwingine anayelibeba kundi hata mwenyewe nilishangaa ditto alivyoenda la familia.
 
Watu kama chid benz akikuanzishia unakuja na platoon mnanyofoa nyayo then mnamla kiboga halafu mnamkata viganga ili vurugu zake za kise**e aziache!
 
wamekutana wote walewale,Afande Sele naye huwa co mzima
 
nimeichek hiyo chanel gwala,anasema angalau sahv yupo Liverpool(tht) yuko level moja na manchester utd.Eti anajivunia backup kubwa aliyonayo mwenge jwtz so chid hamtishi kwa lolote,kaz kwao ngoja tuone final nani ataibuka kidedea

kweli mkuu ni suala la kusubiri na kuona
 
Chid benz acha vurugu afande sele ameongea ukweli la familia upo wewe tu hakuna mwingine anayelibeba kundi hata mwenyewe nilishangaa ditto alivyoenda la familia.

na ukitegemea la familia imebaki jina tu,amebaki mwenyewe wooote wameondoka,dito,kasimu,chiku,o ten duh! Kazi ipo
 
Mi naamini hy si bifu bali ni mmoja wapo anataka kukuza soko lake la mziki, sio ishu wazazi kama nini peace kwa sana.
 
Afande kama una mipango ya kwenda mjengon mwaka ujao acha haya mambo,elekeza nguvu zako kujinoa ktk siasa.Bifu ni michongo ya kizamani siku hizi kila mtu anafanya yake
 
Afande sele ameingia kwenye bifu nzito na chid benz baada ya afande kusema dito alitoka watu pori(man united) akaenda La familia(bolton) akimaaniisha dito alitoka man united timu kubwa akaenda bolton la familia timu ndogo,CHID AMEJIBU MAPIGO KWENYE UPANDE WAKE WA TWITER KWA MANENO MAKALI AMBAYO SI BUSARA KUYAWEKA HAPA, huku akisema yeye yuko ilala kama anamtafuta

Bifu haina manufaa yoyote katika hii kazi ya kisanaa. Italeta picha mbaya kwa mashabiki wanaomkubali tu!!
 
Back
Top Bottom