Bifu ya Fid Q na Joh Makini

Na wala hatuhitaji sisi kama fans wake. Kitu haiuzi yann sasa ngoma ngumu kama hyo.
"[emoji444] Mchaga na mpare pesa ni jadi u can't separate [emoji444] haha" mziki pesa sio mziki ilimradi show mpaka uonewe uruma.
Tafuta show za fid uone maulaya huko Joh mwisho leaders hahahaaaa
NGUVU YA ELIMU,INA UMUHIMU
PALE ELIMU IKITUMIKA
NALIPWA KWA VYOTE AMBAVYO HUVIJUI...itikia iam a professional
 
Tafuta show za fid uone maulaya huko Joh mwisho leaders hahahaaaa
NGUVU YA ELIMU,INA UMUHIMU
PALE ELIMU IKITUMIKA
NALIPWA KWA VYOTE AMBAVYO HUVIJUI...itikia iam a professional
Mc pekee nayepiga show frm January to December.
 
Yani wewe ni ZOOOBAA
 
Joh mpambanishe na akina mwana fa,Fid mpambanishe na Watengwa,Frank Gonga na Mc's wengine wakali
 
Naam,hapahapa ndipo nilipokuwa napasubiri.....
Na huyo Fid marioo anayelelewa na wanawake je?
Hili jambo huwa sipendi kulisema kwa heshima ya Fid ila mapopoma kama nyie ndio mnasababisha niseme.

Hivi Nifah kuna msanii humjui nje ndani??
 
Fid Q zamani hizo,sasa hivi ni zamu ya Mwamba wa Kaskazini Joh....
Fid atabaki na heshima yake tu,ila kimafanikio anakalishwa vibaya na Joh.
Sidhani km ni kweli..fid anamafanikio kuliko joh sema joh roporopo
 
Mkuu siwezi argue na wewe kuhusu hip hop tena maana nimegundua uelewa wako kuhusu hip hop ni mdogo sana kama sio hakuna kabisa.
Ila ubishi hautasaidia chochote kama hutaki kujifunza
 
Mkuu siwezi argue na wewe kuhusu hip hop tena maana nimegundua uelewa wako kuhusu hip hop ni mdogo sana kama sio hakuna kabisa.
Ila ubishi hautasaidia chochote kama hutaki kujifunza
Hata mimi sina muda pia.
 
Hivi vigezo haviwezi kutupatia mbora kati yao....
Nijuavyo mimi....
Umri-Fid Q
Finances- Joh
Education-Fid Q
Exposure-Both...
Haya sasa niaambie who deserve to stay on top?
Joh ana exposure gani
 
Mkuu siwezi argue na wewe kuhusu hip hop tena maana nimegundua uelewa wako kuhusu hip hop ni mdogo sana kama sio hakuna kabisa.
Ila ubishi hautasaidia chochote kama hutaki kujifunza
Wewe ndio uko less informed kwa taarifa yako. Na sikuambii ni nini hujui ...nakuacha na upoyoyo wako. hadi pale utapokuja elewa tofauti ya HipHop as a culture and Rap Music.
 
Nafikiri hapa kuna kitu watu wanashindwa kuelewana. Awa wote FidQ na Joh wanafanya muziki unaofanana.

Tofauti inakuja kwenye audience yao.

Fid Q ni mtu anayewekeza zaidi kwenye heshima ya muziki wake uliomtoa ndio maana anaweza kuonekana kama hapati airtime kubwa kwenye media ila umuoni akipotea. Fid alianza na kina Mapacha, Squeezer, Geez wakaja kina Jmoe, Ngwea, FA wakaja kina Rado, Langa nk akapita generation nyingi sana hapo katikati lakini bado yupo na haonekani kama atapotea leo. Kwa nini mpaka leo anafanya vizuri? Sababu ana invest sana kwenye heshima ya muziki wake na kulinda fan base isimwache na ni mwangalifu sana kwenye future ya muziki wake. Ndio maana ukisikiliza Professional unahisi kama imetoka jana ujumbe wake na midondoko.

Joh ni mtu aliyekuja kubadilika (kama sio kubadilishwa ) na soko. Ukiangalia game anayofanya inaangalia sana biashara na make pesa za chap chap. Target yake sasa hivi imekuwa ni vijana ambao wanakuwa na wanaanza uchizi wa muziki(teens) , awa wanapenda radha zaidi kwenye muziki kuliko kingine chochote, wanaamini kizazi chao ndio kina watu wanaojua vitu vizuri kuliko cha nyuma, kizazi kinaichoamini katika radha . Ndio maana kila baada ya mwezi wanaomba wimbo mpya na utoke na video pamoja.. Sasa hivi Joh anaachia wimbo na kideo nafikiri kila baada ya miezi mitatu na ikipita mwaka hizo ngoma zote unaweza usizisikie kabisa au ukazisahau.. Fan base ya Joh inapima ukali wa msanii kwenye video anayotoa (mimi naamini ukali wa video ni sifa za mwongozaji) , pamba anazovaa, affiliation yani upo karibu na nani ili nikusapoti.


Kwa hiyo hapa ni dunia mbili tofauti zinashindana.. Dunia ya biashara na dunia ya umaahiri.

Mimi nafikiri hapa mshindi ataamuliwa na muda.

Nakumbuka Fid alishawai shindanishwa na Rado, washiriki wa mfalme wa rhymes nk nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…