Dah kweli wewe inabidi ufundishwe maana ya hip hop yaani hapa tunaongelea nani anafanya real hip hop we unaanza kusema joh kapiga show nyingi. Na hip hop haipimwi kwa show na tuzo maana haviko kwenye misingi ile mitano ya zamani na hata hii nane ya sasa ya hip hop. Hip hop ina nguzo zake na kama hip hop ingekua hivyo ulivyoandika hapa nani angemjua mos def, nani angemjua krs one, nani angemjua rakim, nani angemjua andre3000, immortal technique na wengine kibao maana hutakaa ukawasikia kwa media hata siku moja na ni real mcs.
Dah yaani kuna umuhimu wa kuanzisha cyphers kwa ajili ya watu kujifunza hip hop ni nini.
Kwa kukusaidia tuu tafta hivi vitabu af uvisome.
The science of rap
The gospel of hip hop
Chuo kikuu cha hip hop.
Nazani vitakuonesha njia atleast ya hip hop ni nini.