We kweli mvivu wa kufatilia vitu I am professional kacopy mashairi ya lily Kim jitahidi kufatilia vituHahahahaaaaaaa we sema anafanya muziki mzuri sawa ila siyo mwana hiphop mzur huko alishatoka huyu bwana kaingia kwa kina godzillah na gosy b...Fid atabak pale Joh had anaenda kaburini hatowaza wala kuota wala kufikiri kutengeneza ngoma kama "IAM PROFESSIONAL"
Kwa muonekano ni O level yule,
Km mpoto ni darasa la 7 ila ukimuuliza elimu yake anakuambia nimekulia kotaz za udsm, Mara nimetafiri sjui nn
Jo makn yy kapiga QT
JohQuotes
Kuandika rahisi hatukopi kwenye vitabu.
"Watu wanaandika mistari konzi , mi naandika mistari ya maisha"
Dah! hili swali lina mushkeri,kwani wee unataka wanaume wa wapi?Wewe ni mwanaume wa Darisalama kwani?
nimetamani hata nikupe tuzo ya Nobel ya heshimaNaam,hapahapa ndipo nilipokuwa napasubiri.....
Na huyo Fid marioo anayelelewa na wanawake je?
Hili jambo huwa sipendi kulisema kwa heshima ya Fid ila mapopoma kama nyie ndio mnasababisha niseme.
Hahahah yaani vitu nilivyojifunza mwishoni mwa miaka ya tisini ndo uje unifundishe wewe saa hizi??Wewe ndio uko less informed kwa taarifa yako. Na sikuambii ni nini hujui ...nakuacha na upoyoyo wako. hadi pale utapokuja elewa tofauti ya HipHop as a culture and Rap Music.
Sasa mbona unajibehave kama Zero Brain...!!!???Hahahah yaani vitu nilivyojifunza mwishoni mwa miaka ya tisini ndo uje unifundishe wewe saa hizi??
Mtu ambae hujui hata misingi ya hip hop ni ipi??kweli umenichekesha sana
Sion beef....
Fid ni Mc, Joe ni rapper
Mkuu unamtaja jay mo gani kumlinganisha na joh?? Yule mr famous??
Usimlinganishe mo tech na vitu vya ajabu ajabu mzee usije niharibia siku yangu bure
Mambo gani hayo mkuu.. kwani kuna tatizo?Wewe ni mwanaume wa Darisalama kwani?
Wewe jamaa umenichekesha sana teh tehKwa muonekano ni O level yule,
Km mpoto ni darasa la 7 ila ukimuuliza elimu yake anakuambia nimekulia kotaz za udsm, Mara nimetafiri sjui nn
Jo makn yy kapiga QT
alipenda kwenda na starehe akasahau SIKU HAZILINGANI,pesa huja na starehe na matatizo humohumo ndani,hakuna kina kinachokauka mapema kama MACHOZI,japo mwili ubaki na huzuni na usoni ishara ya MAJONZI,kizuri ni kizuri lakini CHENYE UBORA NI BORA. Hapa ndipo ninapo mkubali fid,bila watu flaniflan kuwashika mikono kinaflan huyu jamaa alitakiwa awe kama walivyo kina Jay_Z na DR DREE huko mbele.Ni taahira tu ndo atamfananisha Fid Q na Joh in terms of music ....Fid anafanya hip hop ya ukweli....Nikikuuliza Joh kazungumzia nini verse ya kwanza ya dont bother sijui utajibu nini...Fid ukisikiliza mashairi yake unaona kuwa jamaa ana IQ kubwa sana......
Wote ni ma rapper na wote ni ma mcee katika vipindi tofauti tofauti.
Oh,asante sana mkuu.nimetamani hata nikupe tuzo ya Nobel ya heshima