ufyudhi
JF-Expert Member
- Apr 29, 2015
- 772
- 538
Kikubwa nachompenda joh ni kuimba ujumbe wa kawaida kwa kutumia maneno yenye utata na yaliyochanganywa vizuri.. huwa nayatamka kila saa..
Kikubwa nachompendea fid ni kutumia maneno ya kawaida kuimba ujumbe wenye utata uliopangika vizuri.. huwa nayawaza kila saa
Kikubwa nachompendea fid ni kutumia maneno ya kawaida kuimba ujumbe wenye utata uliopangika vizuri.. huwa nayawaza kila saa