Bifu ya Fid Q na Joh Makini

Naam,hapahapa ndipo nilipokuwa napasubiri.....
Na huyo Fid marioo anayelelewa na wanawake je?
Hili jambo huwa sipendi kulisema kwa heshima ya Fid ila mapopoma kama nyie ndio mnasababisha niseme.
Nifah umejuaje Fid analelewa na wanawake?
 
yani mpaka leo kuna maraia yanaamini Hip Hop ni kuandika ngumu sana, kujiziba jicho moja,video mnashutia kwenye gofu black and white afu no video queen. Tubadilike jamani harakati walishafanya kina Sugu na Tupac.
 
Hahaha Watoto bana...

Fid Q = Hip Hop ya jamii & Waumiza vichwa

JOH MAKINI = Hip Hop laini ya Warembo & Wapenda Bata.

Kama unaifahamu HipHop na Rap vizuri utajua

Nani wa kulinganishwa na Fid Q.

Akina nani wa kulinganishwa na Joh Makini kwa hapa Bongoland.
 
Kufanya hvyo tu sio shughuri ndogo, hebu niambie wewe hadi kugundua kachukua mstari ulifanya kazi kiasi gani au na wewe uliambiwa ndo ukaenda kuusikiliza?
 
Kufanya hvyo tu sio shughuri ndogo, hebu niambie wewe hadi kugundua kachukua mstari ulifanya kazi kiasi gani au na wewe uliambiwa ndo ukaenda kuusikiliza?
Ukiwa mfuatiliaji mzuri wa culture hii ya Hip Hop especially kwenye kipengele cha kughani, udokozi wa hawa wasanii wetu utautambua kirahisi sana.
Kwahiyo nilivyo mpa compliment huyo mdau usifikiri nimekurupuka brazakaka don't underestimate my intelligence.
 
Naam,hapahapa ndipo nilipokuwa napasubiri.....
Na huyo Fid marioo anayelelewa na wanawake je?
Hili jambo huwa sipendi kulisema kwa heshima ya Fid ila mapopoma kama nyie ndio mnasababisha niseme.
My Chaubishi Nifa. I Love It Ukiwa Katika Keyboard Battles.[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
 
True said brother mwamba utaendelea kudumu daima katika hii mada wewe ndo umetoa ushahidi halisi
 
Ni mara kumi umsikilize niki anachoimba kuliko joh, joh sikuhiz anaimba matakataka ya Arusha, utasikia " Pata ma para pata, cjui nini" ilimradi aendane na bit. Fid Q anaweza hipop, anaweza raping pia anaspeed ya kuchana kuliko Joh, kwenye Fresh amechana km Trech wa Naught by Nature
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…