Bifu ya Fid Q na Joh Makini

Bifu ya Fid Q na Joh Makini

Naam,hapahapa ndipo nilipokuwa napasubiri.....
Na huyo Fid marioo anayelelewa na wanawake je?
Hili jambo huwa sipendi kulisema kwa heshima ya Fid ila mapopoma kama nyie ndio mnasababisha niseme.
Nifah umejuaje Fid analelewa na wanawake?
 
yani mpaka leo kuna maraia yanaamini Hip Hop ni kuandika ngumu sana, kujiziba jicho moja,video mnashutia kwenye gofu black and white afu no video queen. Tubadilike jamani harakati walishafanya kina Sugu na Tupac.
 
Hahaha Watoto bana...

Fid Q = Hip Hop ya jamii & Waumiza vichwa

JOH MAKINI = Hip Hop laini ya Warembo & Wapenda Bata.

Kama unaifahamu HipHop na Rap vizuri utajua

Nani wa kulinganishwa na Fid Q.

Akina nani wa kulinganishwa na Joh Makini kwa hapa Bongoland.
 
At last kuna mtu amejua huyu Jamaa ni corny... Lile goma lilikua disi ya LL COOL J. Na fid alifanya kutafsiri mashahiri,hata ile ngoma ya Nasir Jones "I made you look" kaiba mashahiri kule.
Sasa wanapo kuja watu ambao sio wafuatiliaji wanamwona kichwa.
Kufanya hvyo tu sio shughuri ndogo, hebu niambie wewe hadi kugundua kachukua mstari ulifanya kazi kiasi gani au na wewe uliambiwa ndo ukaenda kuusikiliza?
 
Kufanya hvyo tu sio shughuri ndogo, hebu niambie wewe hadi kugundua kachukua mstari ulifanya kazi kiasi gani au na wewe uliambiwa ndo ukaenda kuusikiliza?
Ukiwa mfuatiliaji mzuri wa culture hii ya Hip Hop especially kwenye kipengele cha kughani, udokozi wa hawa wasanii wetu utautambua kirahisi sana.
Kwahiyo nilivyo mpa compliment huyo mdau usifikiri nimekurupuka brazakaka don't underestimate my intelligence.
 
Naam,hapahapa ndipo nilipokuwa napasubiri.....
Na huyo Fid marioo anayelelewa na wanawake je?
Hili jambo huwa sipendi kulisema kwa heshima ya Fid ila mapopoma kama nyie ndio mnasababisha niseme.
My Chaubishi Nifa. I Love It Ukiwa Katika Keyboard Battles.[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
 
Currently JohMakini is the Best Rapper in East Africa according to Tuva Mzazii

The guy he say he can fill a stadium even in January..
Ndio Msanii wa HipHop anayepiga shows nyingi zaid kila Mwaka kuanzia 2011 mpaka leo hii 2016

Ndio msanii wa Hip Hop aliyeweza ku mentain Tangia ametoka mpaka leo yuko OnTop wengi wamepotea wengine wako Bagamoyo Sober House teh teh na wanandoto za kurudi kwenye game siku 1.
Ndio msanii wa HipHop ambaye nyimbo zake zinakaa sana kwenye Chat Radio station zote Tz according to Marimba Chat ya Bongo5 na CMEA East Africa.
Fid Q zamani kwa sasa hata Darasa anamkalisha.
Respect to King Joh [emoji146] [emoji146] [emoji146]
d04004465e6a855ef165f1da113f58c9.jpg
True said brother mwamba utaendelea kudumu daima katika hii mada wewe ndo umetoa ushahidi halisi
 
Ni mara kumi umsikilize niki anachoimba kuliko joh, joh sikuhiz anaimba matakataka ya Arusha, utasikia " Pata ma para pata, cjui nini" ilimradi aendane na bit. Fid Q anaweza hipop, anaweza raping pia anaspeed ya kuchana kuliko Joh, kwenye Fresh amechana km Trech wa Naught by Nature
 
Back
Top Bottom