Bifu ya Fid Q na Joh Makini

Mashabiki ndio tunakuza bifu za wasanii wetu na hata kuyatengeza bifu na kuwa makubwa kama hivi sasa mleta uzi unatengeneza tension kwa watu,huenda hata wao hawana bifu namna tunavyo tafsiri sisi,ila sisi mashabiki ndo tuna pika uchafu huu.tubadirike wa bongo, tumesha watenganisha Diamond na alikiba kwa mambo ya namna hii.
 
Sidhani kama unauelewa mziki mkuu

Joh na Fid wanafanya vitu tofauti kila mtu na njia zake huwezi kuwapambanisha

Nimepata shaka juu ya uwelewa wako wa music samahan lakini
I agree with you 200%.
 
Naam,hapahapa ndipo nilipokuwa napasubiri.....
Na huyo Fid marioo anayelelewa na wanawake je?
Hili jambo huwa sipendi kulisema kwa heshima ya Fid ila mapopoma kama nyie ndio mnasababisha niseme.
Mmmmh mama unaugomvi na mimi kweli mimi. Ni mario.???. ngoja niiishie hapo..
 
Mentality za kizamani sana hizo. Enzi za kina tupac.
Na hao ndo inspiration za wote hawa, ila mwingine ameshateleza na kupoteza basis sijui anaimba nini maana kwenye hip hop haenei
 
Bifu yao itakuwa ya kawaida sana na haitafikia kwa bifu ya akina naniii na domo.
 
mtoa mada ni mwanaume wa dar... ndo nyie mnaokesha kumzungumzia wema Ali kiba na diamond pumbaaafu
Ijapokuwa umetindikiwa hekima ni busara zaid ukazuia hisia zinazokupelekea uonekane fyatu ili angalau ufanane na wenye hekima pindi unapochanganyikana nao
 
Your ID n your post are two different things
 
mtoa mada ni mwanaume wa dar... ndo nyie mnaokesha kumzungumzia wema Ali kiba na diamond pumbaaafu

Fala kweli wewe.We umewajuaje hao?

Fid muda wake umeisha.Hata Joh pia atapita.
 
Unajua pata maana halisi ya Hiphop na tips zake then take the two figures judge them kisha think of the reality katika outcomes na usisahau kua wtu wengi saivi hawajaji kitu kwa kuangalia kada zenyewe halisi isipokua wanaangalia who is makin.more au airtime zaidi inshort audiance ya bongo iko low in thinking capacity ndo maana hata ukiweka mshairi kama Mrisho mpoto na mwingine mashairi yake wengi hawayaelewi kwann public reading ni ndogo bana kwahivi mzungu anaposema ukitaka umfunge au umpoteze mwafrika weka ktk maandishi utamuweza by the way Fid q na Joh nivtofauti kimaudhui na kimsimamo wa aina ya mziki napita tu.
 
aisee unaharisha leo nini? unaonekana HIP HOP huijui wewe kasikilize taraabu huko ndo unapopaelewa zaidi
What is HIP HOP weweee....!!!??? Saivi tunasikiliza mziki mzuri.
 
Fid q amejitanua sana katika activities nyingi sana aisee..
Nikiwai fanya nae project moja ilikua chini ya usaid..
So usimundermine kiiivo katka mapato..
bahati nzuri hawa wote nilibahatika kuwashuhudia na kuwafatilia tangu wanatoka, joh na kama kawa na fid kolabo ya nuruelly-malkia..
Joh ni rapper mwenye taste, fid ni rapper mwenye mashairi makali..
Soko la zamani kidogo lilihitaji rapper anayejua kuandika kama fid q..
Soko la sasa linapenda ladha na swaga..
hapa utaona ni namna gani fid alimkimbiza joh time ile..
Joh alijitahidi kuandika sana kipindi kile aendane na soko, na alifanikiwa kulishika, lakini si zaidi ya fid q kwa sababu fid amemzidi joh katika fasihi. Joh aliandika nymbo kali sana kama hao, muda, mfalme, copy my motion n.k
Kwa kujiamini kwamba ni mzuri katika uandishi na pia kuwa na alternatives katika kipato na pia kujijengea mashabiki die hard , fid ndo vile aliegemea misingi ile ile katika nyimbo zake ambazo hazivumi saaana zinapotoka ila zinaishi milele.. mf. Mwanamalundi na fei (kwa waliobahatika kuzisikia)..
Joh alianza kwa kuimba kibishi na kubase kwenye mistari mikali ila alikua bado anatafuta ni kwa namna gani atapiga hela na kujikusanyia mashabiki na kupiga hela pia..
Katika kujitafuta kwake huku ndio mpaka alitoa albamu ya 'ulimwengu wa wapendanao' hapa alibadikika kabisa na kuanza kuimba vitu flani laini kdg na kuchanganya ladha mbalimbali mf. Wimbo wa 'kila wakati'
then akahama akajitafuta akiwa na river camp(ambapo kulimjenga sana kimashairi coz alikua katibu na niki na bonta),
Then akaja kujitafuta na weusi (hapa ndipo watanzania wengi walipomkubali)..
Na weusi aliweza kugain namna ya kuweka vionjo mbalimbali ktk nyimbo zake (kwa kukaa na watu creative kama g nako na nah reel)..
Hapa alimkuta nah reel ameshajipambanua na kufanya muziki katika studio yake mwenyewe ambayo alikua na uhuru nayo..
So wakawa free kufanya kazi nzuri pamoja na kutoboa kimataifa..


conclusion;
Hii beef sidhan km ni ya ukweli coz hawa jamaa ni mutual exclusive..
Pia kwa anayependa muziki ni vizuri kuwasikiliza hawa wote coz kwa pamoja wanaunda ful music package ambayo ni mashahiri na flavour
 
Naam,hapahapa ndipo nilipokuwa napasubiri.....
Na huyo Fid marioo anayelelewa na wanawake je?
Hili jambo huwa sipendi kulisema kwa heshima ya Fid ila mapopoma kama nyie ndio mnasababisha niseme.
Huna unalolijua
 
Hip hop ni ya waungwana,
Wana wenye fikra pana,
Sio tu unachana,
Kwa sana visivyo na maana,
Joh mtoto wa jana,
Still mtoto wa mama,
Siku hiz sauti anabana,
Anaimbia pua kama dyna,
Farid heshima tele,
Muziki wake ule ule,
Daily anatupa shule,
Uzalendo mbele mbele.....

Joh namkubali sana, ana swaga, ana flow ya ukweli ila hiyo haitoshi kuweka level moja na Farid, joh hawezi kuandika. Joh kiuandishi level yake mr blue. Joh hamuwezi hata one the incredible, hamuwez stereo, hamuwez hata nick mbishi. Hip hop ni zaid ya kushika mic na kuchana, hip hop ni fikra, kama fikra zako finyu utaandika nini zaid ya kujificha kwenye kichaka cha flow nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…