gambada ynwa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 390
- 371
Ujue nini mzee, hip hop inasimamiwa na misingi/nguzo zake so haitakiwi utoke kwenye misingi kisa tu upate show za fiesta, baki kwenye misingi ya hip hop af show zikufate huko huko.Hip hop ni ya waungwana,
Wana wenye fikra pana,
Sio tu unachana,
Kwa sana visivyo na maana,
Joh mtoto wa jana,
Still mtoto wa mama,
Siku hiz sauti anabana,
Anaimbia pua kama dyna,
Farid heshima tele,
Muziki wake ule ule,
Daily anatupa shule,
Uzalendo mbele mbele.....
Joh namkubali sana, ana swaga, ana flow ya ukweli ila hiyo haitoshi kuweka level moja na Farid, joh hawezi kuandika. Joh kiuandishi level yake mr blue. Joh hamuwezi hata one the incredible, hamuwez stereo, hamuwez hata nick mbishi. Hip hop ni zaid ya kushika mic na kuchana, hip hop ni fikra, kama fikra zako finyu utaandika nini zaid ya kujificha kwenye kichaka cha flow nzuri.
Af sio watu wanakurupuka eti joh mbaya wakat hata nguzo moja ya hip hop ukiwauliza hawajui.
Aseee kwenye hii kitu embu tuwe serious muda mwingine