Bifu ya Fid Q na Joh Makini

Bifu ya Fid Q na Joh Makini

Hip hop ni ya waungwana,
Wana wenye fikra pana,
Sio tu unachana,
Kwa sana visivyo na maana,
Joh mtoto wa jana,
Still mtoto wa mama,
Siku hiz sauti anabana,
Anaimbia pua kama dyna,
Farid heshima tele,
Muziki wake ule ule,
Daily anatupa shule,
Uzalendo mbele mbele.....

Joh namkubali sana, ana swaga, ana flow ya ukweli ila hiyo haitoshi kuweka level moja na Farid, joh hawezi kuandika. Joh kiuandishi level yake mr blue. Joh hamuwezi hata one the incredible, hamuwez stereo, hamuwez hata nick mbishi. Hip hop ni zaid ya kushika mic na kuchana, hip hop ni fikra, kama fikra zako finyu utaandika nini zaid ya kujificha kwenye kichaka cha flow nzuri.
Ujue nini mzee, hip hop inasimamiwa na misingi/nguzo zake so haitakiwi utoke kwenye misingi kisa tu upate show za fiesta, baki kwenye misingi ya hip hop af show zikufate huko huko.
Af sio watu wanakurupuka eti joh mbaya wakat hata nguzo moja ya hip hop ukiwauliza hawajui.
Aseee kwenye hii kitu embu tuwe serious muda mwingine
 
Mnahangaika bure tafuta nyimbo hizi mbili zote joh hayumo na ndo nyimbo zilizowaunganisha wakali wa hip hop
Mchiz wangu rmx
Mimi remix ya geez
Tabu watu wa ukaskazini yani wakishafanikiwa kidogo tu wanatengeneza empire ya kubebana wao kwa wao bahati mbaya hata Yule muhaya ruge kaingia king sikj hizi clouds ni nahreel,Vanessa, nick wa pili, joh, g nako, na tht ! Lazima akina fid wapotee maana mainstream wanapigwa akina joh na tht! Ndo maana watu wenye akili wanamchukia ruge anahua vipaji vingi kisa radio yake ina nguvu
2Pac na BIG walibadilika wakafanya comercial sembuse Joh Makini mind your own business.
 
Sasa na wewe unamleta Moe wa nini hapa. their era is gone....the style changes with time. Wameshindwa ku keep up to modern style.

sasa unataka waendelee vp dumu ktk game. Moe kajaribu rudi kashindwa...likewise fid. Sasa unataka tuaminisha nini???
Kweli uelewa wako wa hip hop ni mdogo sana asee. Hivi unazani hip hop ni kupigwa radion na kupata show za fiesta?? Hip hop ipo katika misingi yaan zile nguzo zake so mtu yeyote anayejiita anafanya hip hop tunampima katika misingi hiyo na sio kwa kupigwa clouds na show za fiesta.
Karibu kwenye darasa langu la hip hop for the coming generation nazani utapata kujifunza zaid juu ya hip hop
 
Currently JohMakini is the Best Rapper in East Africa according to Tuva Mzazii

The guy he say he can fill a stadium even in January..
Ndio Msanii wa HipHop anayepiga shows nyingi zaid kila Mwaka kuanzia 2011 mpaka leo hii 2016

Ndio msanii wa Hip Hop aliyeweza ku mentain Tangia ametoka mpaka leo yuko OnTop wengi wamepotea wengine wako Bagamoyo Sober House teh teh na wanandoto za kurudi kwenye game siku 1.
Ndio msanii wa HipHop ambaye nyimbo zake zinakaa sana kwenye Chat Radio station zote Tz according to Marimba Chat ya Bongo5 na CMEA East Africa.
Fid Q zamani kwa sasa hata Darasa anamkalisha.
Respect to King Joh [emoji146] [emoji146] [emoji146]
d04004465e6a855ef165f1da113f58c9.jpg
 
Post yangu yenyewe umeisoma na hujaielewa sasa sijajua ubongo wako uko located wapi..
Umesema in general kwamba "watu" hawataki mistari ya kuumiza vichwa sasa mimi kama mtu pia nakwambia hivii ubongo wangu unaruhusu na nnataka..usisemee nafs za wengine broo kaskize ngololo na cheketua kama huwez kumaintain.
 
Umesema in general kwamba "watu" hawataki mistari ya kuumiza vichwa sasa mimi kama mtu pia nakwambia hivii ubongo wangu unaruhusu na nnataka..usisemee nafs za wengine broo kaskize ngololo na cheketua kama huwez kumaintain.
Kumbe kweli hujaelewa nikajua masihara!
 
Ni taahira tu ndo atamfananisha Fid Q na Joh in terms of music ....Fid anafanya hip hop ya ukweli....Nikikuuliza Joh kazungumzia nini verse ya kwanza ya dont bother sijui utajibu nini...Fid ukisikiliza mashairi yake unaona kuwa jamaa ana IQ kubwa sana......
Verse ya kwanza ya walk it off ya fid q inazungumzia nini?

Nyimbo inaitwa don't bother unataka aweke maudhui ya siasa ndo umwelewe?. Just don't bother bro, Ngosha mbona aliimba "Ngosha the swagger don" na maudhui yake yalikua ni swag swag tu, au kwenye ngosha the swagger don ulitegemea usikie mistari ya ripoti za mtaani??

Msi create beef Ngosha na Joh wako poa tu
 
Bro abt hiphop utasubir hapa sawa ?...unataka tubishane bt let me show u that this isnt au level...
1.ughana
2.umanju
3.uvunjaji
4.machata
5.midundo kinywa.
Kwa hiyo John Makini anamiss nini hapa.
 
Back
Top Bottom