data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,858
- 23,768
Unajua alipo..???Kwani Fid Q alienda wapi hadi useme kashindwa kurudi.?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua alipo..???Kwani Fid Q alienda wapi hadi useme kashindwa kurudi.?
Joe hana wa kufananishwa nae kwa sasa.wew wacha kumfananisha jay mo na vitu vya kipumbavu ww
Mashabiki ndio tunakuza bifu za wasanii wetu na hata kuyatengeza bifu na kuwa makubwa kama hivi sasa mleta uzi unatengeneza tension kwa watu,huenda hata wao hawana bifu namna tunavyo tafsiri sisi,ila sisi mashabiki ndo tuna pika uchafu huu.tubadirike wa bongo, tumesha watenganisha Diamond na alikiba kwa mambo ya namna hii.Inasemekana hawa jamaa huwezi kuwapika chungu kimoja na haziivi kabisaaa eti kisa tu kila mmoja anajiona ni zaidi ya mwenzake.imekuwa ni vigumu Kwao kukubali au kukanusha hili pale wanapohojiwa hali inayoleta sintofahamu baina ya beef hili.....mwenye kujua juu ya hili na atiririke
I agree with you 200%.Sidhani kama unauelewa mziki mkuu
Joh na Fid wanafanya vitu tofauti kila mtu na njia zake huwezi kuwapambanisha
Nimepata shaka juu ya uwelewa wako wa music samahan lakini
Mmmmh mama unaugomvi na mimi kweli mimi. Ni mario.???. ngoja niiishie hapo..Naam,hapahapa ndipo nilipokuwa napasubiri.....
Na huyo Fid marioo anayelelewa na wanawake je?
Hili jambo huwa sipendi kulisema kwa heshima ya Fid ila mapopoma kama nyie ndio mnasababisha niseme.
Mentality za kizamani sana hizo. Enzi za kina tupac.Msituletee upuuzi wenu hapa, Fid Q ni Hip Hop Guru, jo muimbaji tuu
aisee unaharisha leo nini? unaonekana HIP HOP huijui wewe kasikilize taraabu huko ndo unapopaelewa zaidiJoe hana wa kufananishwa nae kwa sasa.
Na hao ndo inspiration za wote hawa, ila mwingine ameshateleza na kupoteza basis sijui anaimba nini maana kwenye hip hop haeneiMentality za kizamani sana hizo. Enzi za kina tupac.
Ijapokuwa umetindikiwa hekima ni busara zaid ukazuia hisia zinazokupelekea uonekane fyatu ili angalau ufanane na wenye hekima pindi unapochanganyikana naomtoa mada ni mwanaume wa dar... ndo nyie mnaokesha kumzungumzia wema Ali kiba na diamond pumbaaafu
Your ID n your post are two different thingsInasemekana hawa jamaa huwezi kuwapika chungu kimoja na haziivi kabisaaa eti kisa tu kila mmoja anajiona ni zaidi ya mwenzake.imekuwa ni vigumu Kwao kukubali au kukanusha hili pale wanapohojiwa hali inayoleta sintofahamu baina ya beef hili.....mwenye kujua juu ya hili na atiririke
mtoa mada ni mwanaume wa dar... ndo nyie mnaokesha kumzungumzia wema Ali kiba na diamond pumbaaafu
What is HIP HOP weweee....!!!??? Saivi tunasikiliza mziki mzuri.aisee unaharisha leo nini? unaonekana HIP HOP huijui wewe kasikilize taraabu huko ndo unapopaelewa zaidi
Huna unalolijuaNaam,hapahapa ndipo nilipokuwa napasubiri.....
Na huyo Fid marioo anayelelewa na wanawake je?
Hili jambo huwa sipendi kulisema kwa heshima ya Fid ila mapopoma kama nyie ndio mnasababisha niseme.