mtoa mada ni mwanaume wa dar... ndo nyie mnaokesha kumzungumzia wema Ali kiba na diamond pumbaaafu
Joh alishaacha misingi zamani kaamua kupiga hela.. In hiphop ground fid still the best... Joh siyo yule tena.Inasemekana hawa jamaa huwezi kuwapika chungu kimoja na haziivi kabisaaa eti kisa tu kila mmoja anajiona ni zaidi ya mwenzake.
Imekuwa ni vigumu Kwao kukubali au kukanusha hili pale wanapohojiwa hali inayoleta sintofahamu baina ya beef hili.
Mwenye kujua juu ya hili na atiririke
Watu wanaizungumzia hiphop kama wanavyoizungumzia afro pop ya kina jeux sijui..Joh alishaacha misingi Fid remaining there Mzee na ukitoa fid kwangu ni Nick mbishi Joh hapana siku yyte anaeza kuja na taarabu huyu hahahahaaaaa...Kamfunika in terms of what?....Fid ni mtu anayesimamia Hip hop...Hip hop haibadiliki kwa zama...Joh ni rapper na mziki wake ni biashara ndo mana usishangae kesho akitoka na charanga...Haitakuwa heshima kuwafananisha hawa wawili..Ni kumkosea adabu Fid Q......Wapo wadau wa hip hop...So sio lazima abadilishe mfumo ili aendane na watoto wa sasa wasiopenda hip hp
Ww ndo hutaki sisi tunataka sana coz bongo zetu zinaruhusu.Katika decade hii ya sasa muziki unaanzia club kuhit! Kwa maana hiyo Joh yuko juu kwa sasa, watu hawataki tena kusikia habari za mistari inayoumiza kichwa!
Hivi vigezo haviwezi kutupatia mbora kati yao....
Nijuavyo mimi....
Umri-Fid Q
Finances- Joh
Education-Fid Q
Exposure-Both...
Haya sasa niaambie who deserve to stay on top?
Jay moe nusu mtu nusu jini... Hatari sana yule mtu... Joh kawa na mziki mwepes sanaMkuu unamtaja jay mo gani kumlinganisha na joh?? Yule mr famous??
Usimlinganishe mo tech na vitu vya ajabu ajabu mzee usije niharibia siku yangu bure
Usintreat kama second class person utakuwa umefanya first class mistake hey(im proffesional)... DadadeqUnajua alipo..???
Muda umepita kivip ?..Joh muweke na kina Ney Wa mitego huko na kina gosy b,zillah ndo level zake kwa fid huku kuna kina Jay moe, Nick mbish na wengineFala kweli wewe.We umewajuaje hao?
Fid muda wake umeisha.Hata Joh pia atapita.
Fact.. Seems u knw much abt hiphop this is beyond th truth na ukitaka kujua anagalia Joh mashabik wake wengi ni wadada na mayoyoo.Hip hop ni ya waungwana,
Wana wenye fikra pana,
Sio tu unachana,
Kwa sana visivyo na maana,
Joh mtoto wa jana,
Still mtoto wa mama,
Siku hiz sauti anabana,
Anaimbia pua kama dyna,
Farid heshima tele,
Muziki wake ule ule,
Daily anatupa shule,
Uzalendo mbele mbele.....
Joh namkubali sana, ana swaga, ana flow ya ukweli ila hiyo haitoshi kuweka level moja na Farid, joh hawezi kuandika. Joh kiuandishi level yake mr blue. Joh hamuwezi hata one the incredible, hamuwez stereo, hamuwez hata nick mbishi. Hip hop ni zaid ya kushika mic na kuchana, hip hop ni fikra, kama fikra zako finyu utaandika nini zaid ya kujificha kwenye kichaka cha flow nzuri.
Chukua Tano [emoji109] "Fid Q zamani hizo,sasa hivi ni zamu ya Mwamba wa Kaskazini Joh....
Fid atabaki na heshima yake tu,ila kimafanikio anakalishwa vibaya na Joh.
Ulinganifu mzuri ni pale vilinganisho vinapokuwa bayana, katika bandiko lako kuna mambo yanahitaji yafafanuliwe vizuri na kwa umakini ili ulinganifu wako ueleweke. Kwa Mfano ungetuwekekea hivi Finances: Joh 9 Billion, Fid Q 1Million: Educatio, Joh Std 7, Fid Q Form 4, etc ets.... Lakini kwa hapo naona kama haupo kisayansi zaidi. Labda utupatie ufafanuzi bayana ili tukuelewe vizuri.Hivi vigezo haviwezi kutupatia mbora kati yao....
Nijuavyo mimi....
Umri-Fid Q
Finances- Joh
Education-Fid Q
Exposure-Both...
Haya sasa niaambie who deserve to stay on top?
Stimu zimelipiwa ndo wimbo wangu wa mwisho kuusikiliza kutoka kwa joh kiukwel tangu hapo sijawa elewa anafanya nini kile.Jay moe nusu mtu nusu jini... Hatari sana yule mtu... Joh kawa na mziki mwepes sana
Umeona eehh huyu jamaa aje atuombe msamaha hapa aseeamekosa heshima wacha kumfananisha jay mo vitu vya kipumbavuu
Joh watoto wamemmeza nae kawa kama mtoto mtoto hivii me mwenyewe namsubiri joh yuleeee wa NIAJE NI VIPI MBNA HAURUDI??..Stimu zimelipiwa ndo wimbo wangu wa mwisho kuusikiliza kutoka kwa joh kiukwel tangu hapo sijawa elewa anafanya nini kile.
Namsubiri arudi joh yule niliemzoea tangu kipindi kile si huyu anae haribiwa na akina nikki wa pili asee