Bifu ya Fid Q na Joh Makini

Bifu ya Fid Q na Joh Makini

Pamekua na tetesi kwamba mashabiki ndio hasa chanzo na wachochezi wakubwa kwa ma'legendary wa sanaa.
Hii huanza polepole na wakati mwingine kuwafikia wahusika na kisha kupelekea misigano na mabishano kwa kila upande kutaka kuwaonyesha mashabiki kwamba upo vizuri na bora zaidi ya upande mwingine.
Lakini chanzo ni mashabiki tu aiseeee.....
 
Tuache hizi ligi ndogo aisee, tusikilize mziki mzuri

Haya mambo ya Vanessa na Jide sijui Dai na Kiba na Joh na Fid na ujinga mwingine ni kuua vipaji tu
 
Inasemekana hawa jamaa huwezi kuwapika chungu kimoja na haziivi kabisaaa eti kisa tu kila mmoja anajiona ni zaidi ya mwenzake.

Imekuwa ni vigumu Kwao kukubali au kukanusha hili pale wanapohojiwa hali inayoleta sintofahamu baina ya beef hili.

Mwenye kujua juu ya hili na atiririke
Joh alishaacha misingi zamani kaamua kupiga hela.. In hiphop ground fid still the best... Joh siyo yule tena.
 
Kamfunika in terms of what?....Fid ni mtu anayesimamia Hip hop...Hip hop haibadiliki kwa zama...Joh ni rapper na mziki wake ni biashara ndo mana usishangae kesho akitoka na charanga...Haitakuwa heshima kuwafananisha hawa wawili..Ni kumkosea adabu Fid Q......Wapo wadau wa hip hop...So sio lazima abadilishe mfumo ili aendane na watoto wa sasa wasiopenda hip hp
Watu wanaizungumzia hiphop kama wanavyoizungumzia afro pop ya kina jeux sijui..Joh alishaacha misingi Fid remaining there Mzee na ukitoa fid kwangu ni Nick mbishi Joh hapana siku yyte anaeza kuja na taarabu huyu hahahahaaaaa...
 
Katika decade hii ya sasa muziki unaanzia club kuhit! Kwa maana hiyo Joh yuko juu kwa sasa, watu hawataki tena kusikia habari za mistari inayoumiza kichwa!
Ww ndo hutaki sisi tunataka sana coz bongo zetu zinaruhusu.
 
Fala kweli wewe.We umewajuaje hao?

Fid muda wake umeisha.Hata Joh pia atapita.
Muda umepita kivip ?..Joh muweke na kina Ney Wa mitego huko na kina gosy b,zillah ndo level zake kwa fid huku kuna kina Jay moe, Nick mbish na wengine
 
Hip hop ni ya waungwana,
Wana wenye fikra pana,
Sio tu unachana,
Kwa sana visivyo na maana,
Joh mtoto wa jana,
Still mtoto wa mama,
Siku hiz sauti anabana,
Anaimbia pua kama dyna,
Farid heshima tele,
Muziki wake ule ule,
Daily anatupa shule,
Uzalendo mbele mbele.....

Joh namkubali sana, ana swaga, ana flow ya ukweli ila hiyo haitoshi kuweka level moja na Farid, joh hawezi kuandika. Joh kiuandishi level yake mr blue. Joh hamuwezi hata one the incredible, hamuwez stereo, hamuwez hata nick mbishi. Hip hop ni zaid ya kushika mic na kuchana, hip hop ni fikra, kama fikra zako finyu utaandika nini zaid ya kujificha kwenye kichaka cha flow nzuri.
Fact.. Seems u knw much abt hiphop this is beyond th truth na ukitaka kujua anagalia Joh mashabik wake wengi ni wadada na mayoyoo.
 
Hivi vigezo haviwezi kutupatia mbora kati yao....
Nijuavyo mimi....
Umri-Fid Q
Finances- Joh
Education-Fid Q
Exposure-Both...
Haya sasa niaambie who deserve to stay on top?
Ulinganifu mzuri ni pale vilinganisho vinapokuwa bayana, katika bandiko lako kuna mambo yanahitaji yafafanuliwe vizuri na kwa umakini ili ulinganifu wako ueleweke. Kwa Mfano ungetuwekekea hivi Finances: Joh 9 Billion, Fid Q 1Million: Educatio, Joh Std 7, Fid Q Form 4, etc ets.... Lakini kwa hapo naona kama haupo kisayansi zaidi. Labda utupatie ufafanuzi bayana ili tukuelewe vizuri.
 
Jay moe nusu mtu nusu jini... Hatari sana yule mtu... Joh kawa na mziki mwepes sana
Stimu zimelipiwa ndo wimbo wangu wa mwisho kuusikiliza kutoka kwa joh kiukwel tangu hapo sijawa elewa anafanya nini kile.
Namsubiri arudi joh yule niliemzoea tangu kipindi kile si huyu anae haribiwa na akina nikki wa pili asee
 
Mnahangaika bure tafuta nyimbo hizi mbili zote joh hayumo na ndo nyimbo zilizowaunganisha wakali wa hip hop
Mchiz wangu rmx
Mimi remix ya geez
Tabu watu wa ukaskazini yani wakishafanikiwa kidogo tu wanatengeneza empire ya kubebana wao kwa wao bahati mbaya hata Yule muhaya ruge kaingia king sikj hizi clouds ni nahreel,Vanessa, nick wa pili, joh, g nako, na tht ! Lazima akina fid wapotee maana mainstream wanapigwa akina joh na tht! Ndo maana watu wenye akili wanamchukia ruge anahua vipaji vingi kisa radio yake ina nguvu
 
Mwamba wa kaskazini ni zaidi
Sio kwa kwamba na chuki na fid

Karne hii watakiwa kwenda spidi

Kufuga rasta na wazungu ni ujiko wa kizamani

Joh anabadilika aweze jenga
rosheni .....
Fid moyoni mgumu ila usoni anapaka losheni ....

Amani sana kwa wanangu wa chuga sinoni ,ngaramtoni,matejo ,olololo mpaka kijenge juuu
 
Stimu zimelipiwa ndo wimbo wangu wa mwisho kuusikiliza kutoka kwa joh kiukwel tangu hapo sijawa elewa anafanya nini kile.
Namsubiri arudi joh yule niliemzoea tangu kipindi kile si huyu anae haribiwa na akina nikki wa pili asee
Joh watoto wamemmeza nae kawa kama mtoto mtoto hivii me mwenyewe namsubiri joh yuleeee wa NIAJE NI VIPI MBNA HAURUDI??..
 
Back
Top Bottom