Bifu ya Fid Q na Joh Makini

Ujue nini mzee, hip hop inasimamiwa na misingi/nguzo zake so haitakiwi utoke kwenye misingi kisa tu upate show za fiesta, baki kwenye misingi ya hip hop af show zikufate huko huko.
Af sio watu wanakurupuka eti joh mbaya wakat hata nguzo moja ya hip hop ukiwauliza hawajui.
Aseee kwenye hii kitu embu tuwe serious muda mwingine
 
2Pac na BIG walibadilika wakafanya comercial sembuse Joh Makini mind your own business.
 
Sasa na wewe unamleta Moe wa nini hapa. their era is gone....the style changes with time. Wameshindwa ku keep up to modern style.

sasa unataka waendelee vp dumu ktk game. Moe kajaribu rudi kashindwa...likewise fid. Sasa unataka tuaminisha nini???
Kweli uelewa wako wa hip hop ni mdogo sana asee. Hivi unazani hip hop ni kupigwa radion na kupata show za fiesta?? Hip hop ipo katika misingi yaan zile nguzo zake so mtu yeyote anayejiita anafanya hip hop tunampima katika misingi hiyo na sio kwa kupigwa clouds na show za fiesta.
Karibu kwenye darasa langu la hip hop for the coming generation nazani utapata kujifunza zaid juu ya hip hop
 
Currently JohMakini is the Best Rapper in East Africa according to Tuva Mzazii

The guy he say he can fill a stadium even in January..
Ndio Msanii wa HipHop anayepiga shows nyingi zaid kila Mwaka kuanzia 2011 mpaka leo hii 2016

Ndio msanii wa Hip Hop aliyeweza ku mentain Tangia ametoka mpaka leo yuko OnTop wengi wamepotea wengine wako Bagamoyo Sober House teh teh na wanandoto za kurudi kwenye game siku 1.
Ndio msanii wa HipHop ambaye nyimbo zake zinakaa sana kwenye Chat Radio station zote Tz according to Marimba Chat ya Bongo5 na CMEA East Africa.
Fid Q zamani kwa sasa hata Darasa anamkalisha.
Respect to King Joh [emoji146] [emoji146] [emoji146]
 
Post yangu yenyewe umeisoma na hujaielewa sasa sijajua ubongo wako uko located wapi..
Umesema in general kwamba "watu" hawataki mistari ya kuumiza vichwa sasa mimi kama mtu pia nakwambia hivii ubongo wangu unaruhusu na nnataka..usisemee nafs za wengine broo kaskize ngololo na cheketua kama huwez kumaintain.
 
Umesema in general kwamba "watu" hawataki mistari ya kuumiza vichwa sasa mimi kama mtu pia nakwambia hivii ubongo wangu unaruhusu na nnataka..usisemee nafs za wengine broo kaskize ngololo na cheketua kama huwez kumaintain.
Kumbe kweli hujaelewa nikajua masihara!
 
Mbona unakimbia swali weka hiyo misingi.Tufunge mjadala
Bro abt hiphop utasubir hapa sawa ?...unataka tubishane bt let me show u that this isnt au level...
1.ughana
2.umanju
3.uvunjaji
4.machata
5.midundo kinywa.
 
Verse ya kwanza ya walk it off ya fid q inazungumzia nini?

Nyimbo inaitwa don't bother unataka aweke maudhui ya siasa ndo umwelewe?. Just don't bother bro, Ngosha mbona aliimba "Ngosha the swagger don" na maudhui yake yalikua ni swag swag tu, au kwenye ngosha the swagger don ulitegemea usikie mistari ya ripoti za mtaani??

Msi create beef Ngosha na Joh wako poa tu
 
Bro abt hiphop utasubir hapa sawa ?...unataka tubishane bt let me show u that this isnt au level...
1.ughana
2.umanju
3.uvunjaji
4.machata
5.midundo kinywa.
Kwa hiyo John Makini anamiss nini hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…