Bifu ya Nikki Mbishi na P the MC

Haha sjawahi skia disstrack kali ya kibongo ka hii...nikki mbishi akileta upoyoyo ataluz his credibility
 
Hatuwezi kusubiri Nikki ajibu ndio tukubali hii track kaka, mbona hatuelewani? Huu ni mwendo wa banter to banter. So far MC wenu anahemea mipira, kama anaweza aingie studio sisi tupo tunasubiri mpambano
Wewe umeshajiandaa kubishana hata kama Nikki akija na Dude kali utakuja kuangusha ubishi ukisimama na P mawenge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nikki ametoa mstari mmoja, pthe ametoa ngoma nzima! sipati picha nikki akitoa ngoma itakuaje coz kwa hizi Diss track unju ndio babalao kwa bongo ila kwa alichofanya P ni unyama... time will tell

Unju anachojua ni matusi na kudhalilisha wenzie na ni lazima atukane kama akimjibu


Sent from my iPhone using Tapatalk
 

Sasa hapo hujamuelewa Nikki au P mawenge?


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Hizi sio beef hizi sio beef mazee

Nashangaa eti ney ana beef na Nikki


Songa Beef
 
Hizi sio beef hizi sio beef mazee

Nashangaa eti ney ana beef na Nikki


Songa Beef
Najua hii ni battle kama joyner na tory ila nilichoshangaa eti hadi nikki wapili nae kaweka michambo yake
 
Freestyle inaitwa straight outta gamboshi


Mistari inasema


Badala ya kuomba collabo mnaomba picha na Gasper/

Ficha passport unaabisha taifa Rasta/


P aliienda south kwenye issue za castle unlock akapiga picha na Gasper nyovest akaipost
Nikki amemdiss p kwenye nyimbo gan

One love

Sent using Jamii Forums mobile app
 
P anasema had kupata picha ilikua mtihani....Sasa imagine collobo


Ndio anasema Nikki anahs kufanya collabo Ni simple Kama kufanya na pindabway(huyu jamaa Ni mchz wake Nikki)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
P mawenge diss track

Kama hunijui niletee wazimu kwenye noti, ndio utajua kwanini wanagawa ndimu kwenye boti.../

Natoa hukumu kama vile hakimu kwenye court, we jifanye kichwa ngumu lete stimu za mimoshi.../ (wewe)

Na usitangaze vita na mimi dogo, maana nitakuzima kama umekumbwa na jini chogo.../

Hasa kama huna afya mwilini madini zogo, na kisura kama muhasi wa jeshi nchini congo.../

Napiga saluti kwa masela, maboya boya hawaipeperushi hii bendera.../

Cheki navyochana sana mpaka mamluki nawakera, natibua harusi kama vile nyuki kwenye shela.../

Bombronxy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…