hooligan01
JF-Expert Member
- Nov 21, 2013
- 664
- 539
Haha sjawahi skia disstrack kali ya kibongo ka hii...nikki mbishi akileta upoyoyo ataluz his credibility
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subili Wewe hawa Wanajuana Vizuri, Subili reply ya Unju, usianze kupiga RamliKaeni mjipe moyo, lakini kwenye hii bifu Nikki ashamezwa mzima mzima aisee. Ataimba nini kujibu hii ngoma? Pamoja na michano lakini stori za humo ndani ni kweli tupu.
Usipige ramli mkuu ingekua kutukana Angeanzia Twitter,.ila kasema anamuacha P apate pate Views alafu ndo AreplyNikki sidhani kama ana uwezo mkubwa sana zaidi atapanic na kutukana!
Sent from my iPhone using Tapatalk
Wewe umeshajiandaa kubishana hata kama Nikki akija na Dude kali utakuja kuangusha ubishi ukisimama na P mawengeHatuwezi kusubiri Nikki ajibu ndio tukubali hii track kaka, mbona hatuelewani? Huu ni mwendo wa banter to banter. So far MC wenu anahemea mipira, kama anaweza aingie studio sisi tupo tunasubiri mpambano
Nikki amemdiss p kwenye nyimbo gan
One love
Subili Wewe hawa Wanajuana Vizuri, Subili reply ya Unju, usianze kupiga Ramli
Sent using Jamii Forums mobile app
nikki ametoa mstari mmoja, pthe ametoa ngoma nzima! sipati picha nikki akitoa ngoma itakuaje coz kwa hizi Diss track unju ndio babalao kwa bongo ila kwa alichofanya P ni unyama... time will tell
ila kuna baadhi ya mistari p sijamuelewa coz analeta hoja za kitoto kwa mfano hilo la kuomba picha badala ya collabo naona nikki yuko sahihi,
nikki kufanya kazi na wakina vanesa, khaliglaph na coyoo lina ukweli coz sio nikki tuh hta stereo amepiga kazi na ay, Ben pol, Victoria kiman, rich mavoko lakini bado anadrop day after day,
pia pthe mc amepiga kazi na deddy, dully sykes, jux ila bado yupo underated
Hizi sio beef hizi sio beef mazeeNikweli mkuu huyu nikki karibia kila mtamaduni pale kaishawahi kuzinguana naye
Alishawahi kua na bifu na godzilla japo godzila naye alikua mtata kama yeye hasa katika ile bifu yake na wakazi. Miezi kadhaa iliyopita nikki alikorofishana na wakazi ila washapatana
Najua hii ni battle kama joyner na tory ila nilichoshangaa eti hadi nikki wapili nae kaweka michambo yakeHizi sio beef hizi sio beef mazee
Nashangaa eti ney ana beef na Nikki
Songa Beef
Nikki amemdiss p kwenye nyimbo gan
One love
nikki ametoa mstari mmoja, pthe ametoa ngoma nzima! sipati picha nikki akitoa ngoma itakuaje coz kwa hizi Diss track unju ndio babalao kwa bongo ila kwa alichofanya P ni unyama... time will tell
P anasema had kupata picha ilikua mtihani....Sasa imagine colloboila kuna baadhi ya mistari p sijamuelewa coz analeta hoja za kitoto kwa mfano hilo la kuomba picha badala ya collabo naona nikki yuko sahihi,
nikki kufanya kazi na wakina vanesa, khaliglaph na coyoo lina ukweli coz sio nikki tuh hta stereo amepiga kazi na ay, Ben pol, Victoria kiman, rich mavoko lakini bado anadrop day after day,
pia pthe mc amepiga kazi na deddy, dully sykes, jux ila bado yupo underated
vita ni vita muraaaaUnju anachojua ni matusi na kudhalilisha wenzie na ni lazima atukane kama akimjibu
Sent from my iPhone using Tapatalk
p mawengeSasa hapo hujamuelewa Nikki au P mawenge?
Sent from my iPhone using Tapatalk
inaitwaje hiyo diss songWakazi ashawai toa mstari mmoja nikki akamjibu kwenye diss song Ina dakika 6
Sent using Jamii Forums mobile app