Nakubali Kaka kweli unafuatilia tamaduniila kuna baadhi ya mistari p sijamuelewa coz analeta hoja za kitoto kwa mfano hilo la kuomba picha badala ya collabo naona nikki yuko sahihi,
nikki kufanya kazi na wakina vanesa, khaliglaph na coyoo lina ukweli coz sio nikki tuh hta stereo amepiga kazi na ay, Ben pol, Victoria kiman, rich mavoko lakini bado anadrop day after day,
pia pthe mc amepiga kazi na deddy, dully sykes, jux ila bado yupo underated
Tatizo siku jamaa anatumia ganja nyingi na pombe mda wote kalewa ukikutana nayeNikki hawezi. Hanaga usireous anapoandika skuiz. Huez kumfananisha nikki wa Sauti ya Jogoo/Play boy na huyu wa sasa anaimba kama teja
Sent using Jamii Forums mobile app
Usifananishe hip hop na hizo kelele zenu,
Bwana wa marehemu mama ako
So bila bifu hakuna hiphop!..Usifananishe hip hop na hizo kelele zenu,
Bifu ni msingi mkuu katika hip-hop
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule jamaa ni bonge la comedianHahahah ile fifty insta yake utaishia kucheka daily
Yaani ana diss kila mtu Mara Mayweather ,Mara Kanye Mara Jay z daah
Sent using Jamii Forums mobile app
Shabiki lia lia wa Unju lazma tukbali kwamba unju kaDrop hata style yake ya kuchana sku hiz ni Mbov na yeye kila cku ni mtu wa lawama plus na ujuaji haiwezakani kila mtu agombane na yeye.....
Ile diss track ya P mawenge kuanzia skunde ya kwanza mpaka ya mwsho vilivyopngelewa vyote ni naked truth::::**:*:: Unju atakuja kuimba MATUSI tuu mwanzo Mwsho sabab ndo anachokijua sku hizi utaskia mara GAY ww upo kama toroli huendi mbele mpaka ushikwe Nyumaa ....
Safar hii kapata kboko yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya tatu..bado P 2 Nikki 0..jamaa anaelekea kuchana mkeka wangu nimebet na wana kuwa haitapita wiki atajibu kwa bonge moja la diss song. Na kwa msela alivyokua bize na instagran sidhan hata kama anapata muda wa kuandika hiyo ngoma yenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure Kaka alichemka dakika 10 za maangamizi
One love
umewahi kukutana naye?Tatizo siku jamaa anatumia ganja nyingi na pombe mda wote kalewa ukikutana naye
One love
ni challenge.Bifu watu wanaitafsiri tofauti.amani,umoja,upendo na burudani ndiyo misingi ya Hip HopSo bila bifu hakuna hiphop!..
Sijawahi kusikia dis track kali bongo kama hii. Correct me if I am wrong
Sent using Jamii Forums mobile app