Bifu ya Nikki Mbishi na P the MC

Bifu ya Nikki Mbishi na P the MC

ila kuna baadhi ya mistari p sijamuelewa coz analeta hoja za kitoto kwa mfano hilo la kuomba picha badala ya collabo naona nikki yuko sahihi,
nikki kufanya kazi na wakina vanesa, khaliglaph na coyoo lina ukweli coz sio nikki tuh hta stereo amepiga kazi na ay, Ben pol, Victoria kiman, rich mavoko lakini bado anadrop day after day,
pia pthe mc amepiga kazi na deddy, dully sykes, jux ila bado yupo underated
Nakubali Kaka kweli unafuatilia tamaduni

One love
 
Nikki hawezi. Hanaga usireous anapoandika skuiz. Huez kumfananisha nikki wa Sauti ya Jogoo/Play boy na huyu wa sasa anaimba kama teja

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo siku jamaa anatumia ganja nyingi na pombe mda wote kalewa ukikutana naye

One love
 
Straight outa gamboshi nikki anarap " BAADA YA FEATURING NYIE UNAMUOMBA PICHA CASPER, FICHA PASSPORT UNAAIBISHA TAIFA RASTA".

P THE MC akaja na msururu wa mistar anamjibu anamwambia" KUNISHINDA DHARAU KAMA KUPIGWA NA GAY, BORA NISIRAP NIKAIGIZE KAMA KANUMBA NA RAY , KWA NGOMA GANI ULIYOMDIS KIMBUNGA NA NAY LABDA HIYO NGOMA MAPRODYUZA WAWE DUNGA NA DREE"
 
Nikki ata ku-freestyle siku hizi hawez. Alizingua dak za maangamizi pale EA fm. Kusahau sahau tu mistari na kuimba vitu visivyoeleweka. Kuanzia siku hiyo niliacha kumsaport mchz
Shabiki lia lia wa Unju lazma tukbali kwamba unju kaDrop hata style yake ya kuchana sku hiz ni Mbov na yeye kila cku ni mtu wa lawama plus na ujuaji haiwezakani kila mtu agombane na yeye.....
Ile diss track ya P mawenge kuanzia skunde ya kwanza mpaka ya mwsho vilivyopngelewa vyote ni naked truth::::**:*:: Unju atakuja kuimba MATUSI tuu mwanzo Mwsho sabab ndo anachokijua sku hizi utaskia mara GAY ww upo kama toroli huendi mbele mpaka ushikwe Nyumaa ....
Safar hii kapata kboko yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka sasa p mawenge ni Tyson Fury af nick ndo deontay wilder
 
Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya tatu..bado P 2 Nikki 0..jamaa anaelekea kuchana mkeka wangu nimebet na wana kuwa haitapita wiki atajibu kwa bonge moja la diss song. Na kwa msela alivyokua bize na instagran sidhan hata kama anapata muda wa kuandika hiyo ngoma yenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya tatu..bado P 2 Nikki 0..jamaa anaelekea kuchana mkeka wangu nimebet na wana kuwa haitapita wiki atajibu kwa bonge moja la diss song. Na kwa msela alivyokua bize na instagran sidhan hata kama anapata muda wa kuandika hiyo ngoma yenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app


Ndio hivyo, Mzee baba sasa hivi kutwaa yuko Instagram kama Wema Sepitu 🤣
 
Nikki ata ku-freestyle siku hizi hawez. Alizingua dak za maangamizi pale EA fm. Kusahau sahau tu mistari na kuimba vitu visivyoeleweka. Kuanzia siku hiyo niliacha kumsaport mchz
Sure Kaka alichemka dakika 10 za maangamizi

One love
 
~ Babu talent.
.Ney wa mitego.... Humu nilielewa dis traki hiyo ya p the mc sijaisikia ila nikki mbishi ni mc mkali bongo.
 
Back
Top Bottom