Amini labda kama Dogo anajiona kakua au ndio mawenge yenyewe sasa
Sema walio wengi hum inawezekana wakawa si wafatiliaji sana wa hphop,wenge mwenyewe naona atakua anajuta kuanzisha chokochokoHana hata kazi za maana halafu uanze kumfananisha na Mbishi
Halafu kuna watu wanasema hamna dis track kali kama ya Wenge
Hivi hao wanasema hivyo wa Nafahamu ngoma za Vinega? Au ndio wa juzi juzi
Je wanaijua ngoma ya Neema (Ney wa Mitego) ya Mbishi
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuu sasa bifu ya young killer na na huyo young d wapi na wapi!!!! Hata hawaendani mmoja pure hiphop na mwingine galasa.Kuna kipindi Menejimenti ya Young D ilimfata Young killer ili watengeneze bifu ila Young Killer akagoma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rado alikuwa msanii mzuri kama angeendelea kutoa ngoma kali, HATUWEZI KUPIMA UBORA WA MSANII KWA NGOMA MOJA!!
Zipo nyingi!.Sijawahi kusikia dis track kali bongo kama hii. Correct me if I am wrong
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama humfatilii P The Mcee ni bora ukakausha tu mzee.. Ila kusema P ni mdudu gan sie wadau wa hiphop ya bongo tunakuona KOLO usiyejua kitu..
Harakati zote za Tamaduni P yumo, sas we unazani adi kuamimika tamaduni ni jambo jepesi eehh??
Katoa kazi gani huyo Wenge wewe mtoto wa KOLO?
Mambo ya kufananisha Mbishi na vitu vya ajabu uache wewe kijana wa KOLO
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo wengi tunamkubali nick labda kwa aliyoyafanya nyuma, Nilikuwa shabiki wake mkubwa ila kwa sasa hamna kitu aseee.....
Anatoa nyimbo za hovyo.....
Kila interview yeye huwa kalewa, mfano juzi hapo aliulizwa kuhusu Dodo ya Alikiba akasema haijui....na hajui kama Ali katoa nyimbo.....( Huku nikujiona mkubwa kuliko wote kwenye Tasnia).
Ana stress za kufail nahisi, anadhani hapewi nafasi anayostahili kumbe yeye ndo hastahili hata tulichompa saiv.
Kwa sasa Naskiliza Album zake za mwanzo.....hizo nyimbo anazotoa sasa hapana ataskiliza mwenyewe.
Kuhusu P ni msanii mzuri haikuwa bure kushinda casstle lite unlock....
Anayesema hamjui P ana matatizo nahisi haijui Hip hop ya Bongo kiujumla....
Ni msanii pekee ambaye ni good story teller....
Top ten yako ya wana hip hop ngumu bongo ( achana na comercial sijui wanaita) hakosekani...
Ngoma kama÷
Baba msaliti
Run Dsm
Mitaa nayotoka..
Noma mwanangu...
Zinaonesha jinsi alivyo na uwezo wa kuja na ladha tofauti....na akaeleweka...
Huyo nikki alikosa watu sahihi wa kumchallenge ndio mwambo wa kujiona Mungu wa Rap ya kibongo..
Alimchana wakazi
Ney
Babu tale
King zila ( Tena huyu ndio kachanwa mara nyng sema jamaa alikuwa na kauoga flan kwa mchizi )
Sasa leo kakutana na mtamaduni mwenzake anaanza kutafuta huruma za mashabiki.. mwambie aache ushamba, unaskia we KOLO
Wewe mtoto wa KOLO unachekesha sana, sasa mtu kuwa vinyimbo viwili vitatu ndio ushamuita chellenger
Wenge apambane kama miaka 5 kwenye game kwa kiwango cha juu ndio uje na vistory uchwara vyako hivyo, sawa mwanangu (mtoto wa KOLO)?
Sent using Jamii Forums mobile app
tukiachana na harakati zake Nicki Mbish is the bestTatizo wengi tunamkubali nick labda kwa aliyoyafanya nyuma, Nilikuwa shabiki wake mkubwa ila kwa sasa hamna kitu aseee.....
Anatoa nyimbo za hovyo.....
Kila interview yeye huwa kalewa, mfano juzi hapo aliulizwa kuhusu Dodo ya Alikiba akasema haijui....na hajui kama Ali katoa nyimbo.....( Huku nikujiona mkubwa kuliko wote kwenye Tasnia).
Ana stress za kufail nahisi, anadhani hapewi nafasi anayostahili kumbe yeye ndo hastahili hata tulichompa saiv.
Kwa sasa Naskiliza Album zake za mwanzo.....hizo nyimbo anazotoa sasa hapana ataskiliza mwenyewe.
Kuhusu P ni msanii mzuri haikuwa bure kushinda casstle lite unlock....
Anayesema hamjui P ana matatizo nahisi haijui Hip hop ya Bongo kiujumla....
Ni msanii pekee ambaye ni good story teller....
Top ten yako ya wana hip hop ngumu bongo ( achana na comercial sijui wanaita) hakosekani...
Ngoma kama÷
Baba msaliti
Run Dsm
Mitaa nayotoka..
Noma mwanangu...
Zinaonesha jinsi alivyo na uwezo wa kuja na ladha tofauti....na akaeleweka...
ila ndani ya futi sita nikki mbishi kawa nikki wa piliKatoa kazi gani huyo Wenge wewe mtoto wa KOLO?
Mambo ya kufananisha Mbishi na vitu vya ajabu uache wewe kijana wa KOLO
Sent using Jamii Forums mobile app