Bifu zito kati ya Ajib na Yondani, washindwa kupeana mkono uwanjani....

Kwanza aliewaambia wavae masweta saa 10 na hili joto la dar nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Swala la kuvaa Sweater huwa linatokea sana katika Derby na Big Matches sio Tanzania pekee angalia entrance scene's kwa mechi za ughaibuni Arsenal vs Spurs, Orlando Pirates vs Kaizer Chiefs (Jua likiwa kali kabisa) Liverpool vs Manchester United na mechi nyingine nyingi.
 
Acha hizo mjua wote ule na joto kali misweta mmekosa nguo nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu sikujua kama Ajibu mshamba hivi mpaka alipopewa ucaptain. Hata akiwa anaongea na media. Leo umefika wakati wa kutambulisha kazubaa tu,mpaka Mwakyembe anamkumbusha
Karia ndio alimkumbisha alafu hakuwa na haja ya yy kuwapa mikono wachezaji wenzake alipaswa kuwatumbulisha tu.
 
Oh, umeuliza tatizo ni nini??
Tatizo la Yondan ni moja tu,

 
Manchester United vs Liverpool huwa inaitwa North-West Derby .
 
Mambo ya Maurinho na Pogba Man U
 
Liverpool na Man Utd sio Derby....

Sent using Jamii Forums mobile app

Copy and Paste from Wikipedia:

The Liverpool F.C.–Manchester United F.C. rivalry, also known as the North West Derby, is a high-profile inter-city rivalry between English professional association football clubs Liverpool and Manchester United. It is considered to be one of the biggest rivalries in the association football world along with the Old Firm derby in Scotland, Superclásico in Argentina, El Clásico in Spain, and Derby della Madonnina in Italy, and is considered the most famous fixture in English football.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…